tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
Safi sana bora ata wewe unaonyesha nia ya kusgughulikia matatizo ya hapo kariakoo na ilala.Mkurugenzi wa manara tv na diwani mteule wa kata ya Kariakoo Hajj Manara leo November 19, 2025 ameeleza wazi namna alivyojipanga kukabliana na changamoto zinazowakabiri wanakazi wa kata ya Kariakoo ikiwemo changamoto ya uhifadhiji wa maji taka yanachafua hali ya hewa ndani ya kata hiyo
Huku akiongeza kuwataka DAWASA wajiandae kuja na majibu kamili juu ya chemba za maji taka kutofanyiwa kazi kwasababu zinazidi kuwa kero wa wananchi wa kata hiyo.
View attachment 3504289
NKuongozi sharti
1. Apende kujifunza
2. Apende kujiridhisha
3.Atende haki
Nara boy uwe mpole na mtulivu tena kuropoka isiwe sababu ya kuamsha hasira ya wenye madai ya msingi juu ya taifa lao?Mkurugenzi wa manara tv na diwani mteule wa kata ya Kariakoo Hajj Manara leo November 19, 2025 ameeleza wazi namna alivyojipanga kukabliana na changamoto zinazowakabiri wanakazi wa kata ya Kariakoo ikiwemo changamoto ya uhifadhiji wa maji taka yanachafua hali ya hewa ndani ya kata hiyo
Huku akiongeza kuwataka DAWASA wajiandae kuja na majibu kamili juu ya chemba za maji taka kutofanyiwa kazi kwasababu zinazidi kuwa kero wa wananchi wa kata hiyo.
View attachment 3504289