Ofcoz aliongea kauli ya kijinga sana.Kwanini alijitangazia kurudi kwenye nafasi yake bila kupata clearance ya waaajiri wake?
Kwanini aseme yeye hana boss! Utafanyaje kazi kwenye taasisi kubwa ikiwa hutaki kuwa chini ya mtu yeyote?
Sasa wenye timu yao wamelifurumusha😅😅😅
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Penda sifa limezodolewa limebaki kugugumia maumivu ya aibu huku moyoni likikasirika na kusononeka,jinga sana.
Anajikomba tuKwani ni lazima Manara afanye kazi Yanga?
Eti yupo tayari hata kufagia! Hii kauli ina maanisha nini? Coz jamaa ana miradi yake,kama vile Manara TV hiyo kauli ingetolewa na Jobless,kidogo ingeleta maana.
HUYu mzee angestaafu tu
Ni kweli,jamaa ana nongwa hatari!Kwa ninavyomfahamu manara hapo anajidai kama ameridhika ila moyo unawaka moto na Hersi ndo kashamuona kama adui yake tayari, siku siyo nyingi ataanza kuandika caption ndefu ndefu
Nasubiri kusikiliza clip zake akiwa analia kama alivyolia kwa babra
Huko Azam si ndo ilitakiwa kabla ya Yanga? Had Dubai alipelekwa na Bakhresaa,Sasa unadhani ataenda wapi!? Timu ni mbili tu hap nchini na simba hawataki gata kumsikia, labda apate ofa ya azam, ama timu ndogo, lakini huko hatosikika, atatambia wapi?
Waja mumuhurumieni Sope, khaaahPenda sifa limezodolewa limebaki kugugumia maumivu ya aibu huku moyoni likikasirika na kusononeka,jinga sana.
Majiraniiii hukuuuuu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bongo timu za mpira ni mbili tu, hivyo vingine ni vilabu 😂Huko Azam si ndo ilitakiwa kabla ya Yanga? Had Dubai alipelekwa na Bakhresaa,
Kuja kustukaa kaangukia Yanga, Azam hakuna jipya, muone Hasheem Ibwe, anajitahidi kuchetukaa, lakiniii wapiii Waja wanampita kuleee.
Woiiiih [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haswaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bongo timu za mpira ni mbili tu, hivyo vingine ni vilabu [emoji23]