Manara - Nipo tayari kuwa mfagiaji Yanga/ siwezi kuwa mnyonge kukosa usemaji yanga na Rais kashaamua

Manara - Nipo tayari kuwa mfagiaji Yanga/ siwezi kuwa mnyonge kukosa usemaji yanga na Rais kashaamua

Kwanini alijitangazia kurudi kwenye nafasi yake bila kupata clearance ya waaajiri wake?
Kwanini aseme yeye hana boss! Utafanyaje kazi kwenye taasisi kubwa ikiwa hutaki kuwa chini ya mtu yeyote?
Ofcoz aliongea kauli ya kijinga sana.
Manara ni mfitini na MTU mwenye kujiona yeye ni bora kuliko wenzake..
Alitaka kumu'outshine ally kamwe.
Na kamwe alivyotishia jiuzulu ndio management ikajua kuwa manara ni kivuruge.
Tuseme alikosea sana alipojitangaza semaji nimerudi wakati huo hana mkataba wa kazi na mwenyw nafasi bado yupo.
 
Kwa ninavyomfahamu manara hapo anajidai kama ameridhika ila moyo unawaka moto na Hersi ndo kashamuona kama adui yake tayari, siku siyo nyingi ataanza kuandika caption ndefu ndefu

Nasubiri kusikiliza clip zake akiwa analia kama alivyolia kwa babra
Ni kweli,jamaa ana nongwa hatari!
 
Sasa unadhani ataenda wapi!? Timu ni mbili tu hap nchini na simba hawataki gata kumsikia, labda apate ofa ya azam, ama timu ndogo, lakini huko hatosikika, atatambia wapi?
Huko Azam si ndo ilitakiwa kabla ya Yanga? Had Dubai alipelekwa na Bakhresaa,

Kuja kustukaa kaangukia Yanga, Azam hakuna jipya, muone Hasheem Ibwe, anajitahidi kuchetukaa, lakiniii wapiii Waja wanampita kuleee.

Woiiiih [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huko Azam si ndo ilitakiwa kabla ya Yanga? Had Dubai alipelekwa na Bakhresaa,

Kuja kustukaa kaangukia Yanga, Azam hakuna jipya, muone Hasheem Ibwe, anajitahidi kuchetukaa, lakiniii wapiii Waja wanampita kuleee.

Woiiiih [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bongo timu za mpira ni mbili tu, hivyo vingine ni vilabu 😂
 
Manara! Manara! Manara!.Nimekuita mara tatu sikiliza ushauri huu.

Tambua kuwa ngoma ikivuma sana ujue inataka kupasuka napia wakati ni ukuta kila kitu kina mwanzo na mwisho.
Jaribu kukubali wakati wako umefika mwisho japo hautaki kukubali .zama zinabadirika kila kitu kinabadirika.
Unapoendea ni kujiabisha.

Nadalili inaonesha utakuwa mchawi kwenye uzee wako.hautaki kukubali na ninavyokujua moyoni mwako umeumia sana.

Dogo kamwe jiandae kurogwa najua sope kaona wewe ndio kikwazo.

MANARA UKIACHWA ACHIKA USILAZIMISHE KUOLEWA NA GSM,INJINIA PAMOJA NA YANGA. ANGALIA USIMALIZIE UZEE WAKO VIBAYA. KWA HATUA ULIOFIKIA INJINIA AKISEMA AKULE KIBOGA ILIAKUPE AJIRA YANGA TENA UTAMWAMBIA KUWA ULIKUWA UMECHELEWA.
 
Back
Top Bottom