Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 29,909
- 32,414
Ofcoz aliongea kauli ya kijinga sana.Kwanini alijitangazia kurudi kwenye nafasi yake bila kupata clearance ya waaajiri wake?
Kwanini aseme yeye hana boss! Utafanyaje kazi kwenye taasisi kubwa ikiwa hutaki kuwa chini ya mtu yeyote?
Manara ni mfitini na MTU mwenye kujiona yeye ni bora kuliko wenzake..
Alitaka kumu'outshine ally kamwe.
Na kamwe alivyotishia jiuzulu ndio management ikajua kuwa manara ni kivuruge.
Tuseme alikosea sana alipojitangaza semaji nimerudi wakati huo hana mkataba wa kazi na mwenyw nafasi bado yupo.