Manara, Rais wa nchi akiongea hakatishwi

Manara, Rais wa nchi akiongea hakatishwi

Aibu mbili zimejitokeza leo kwenye mchezo kati ya Yanga na Somalia.

Manara anamkatisha Rais wakati anaongea. Aibu sana.
Ueledi wa kazi hapo. Rais hakatishwi wakati anaongea. Labda asite na kuuliza jambo.

Aibu ya pili ni GSM kutoa millioni 10. GSM waandaaji mnatoa milioni 10? Aibu.
😂😂😂Dah watu mnaona kutoa millioni 10 ni rahisi tu kama kutoa maji ya kandoro,i hope wewe ungetoa millioni 50 mkuu
 
Aibu mbili zimejitokeza leo kwenye mchezo kati ya Yanga na Somalia.

Manara anamkatisha Rais wakati anaongea. Aibu sana.
Ueledi wa kazi hapo. Rais hakatishwi wakati anaongea. Labda asite na kuuliza jambo.

Aibu ya pili ni GSM kutoa milioni 10. GSM waandaaji mnatoa milioni 10? Aibu.
Tumekuelewa Zuhura Yunus

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Makolo yan manara kuongea na rais mmekasirika pia,imagine ile event ingeandaliwa na mikia hizo ambazo angepewa babra na chawa wake si za nchi hii!
Rais aliongea naye kama mlemavu wa ngozi
 
Back
Top Bottom