TADPOLE
JF-Expert Member
- Nov 18, 2015
- 2,914
- 9,472
😂😂😂Dah watu mnaona kutoa millioni 10 ni rahisi tu kama kutoa maji ya kandoro,i hope wewe ungetoa millioni 50 mkuuAibu mbili zimejitokeza leo kwenye mchezo kati ya Yanga na Somalia.
Manara anamkatisha Rais wakati anaongea. Aibu sana.
Ueledi wa kazi hapo. Rais hakatishwi wakati anaongea. Labda asite na kuuliza jambo.
Aibu ya pili ni GSM kutoa millioni 10. GSM waandaaji mnatoa milioni 10? Aibu.