Dunia hadaa,ulimwengu shujaa
GSM
Manara
Senzo n.k
Wasikubabaishe.
Penda mpira, shabikia mpira Kama kiburudisho Cha moyo Kama vile ukipita sehemu Kuna jua Kali,ukafika karibu na duka la vinywaji
Halafu ukapewa Coca-Cola baridi from no where yaani ile big surprise kumbuka burudani utakayopata hapo si ya kawaida,ghafla
Muda huohuo unakutana na msichana mrembo anayekutamkia mwenyewe kuwa anakupenda
Kizuri zaidi anakwambia upo moyoni mwake siku nyingi ila aliogopa kukwambia,
Mwanaume unatabasamu unashindwa kujizuia,ila akili inakwambia usifanye hivo mbele ya binti acha kulegeza macho jikaze.
Uone kawaida,kabla hujasema chochote binti wa watu anakwambia yeye ni bikra .
Naam yaani hajawahi kukutana na mwanaume yoyote,unaangalia saa ya mkononi kwa kuzuga ,huku binti yeye akiangalia pembeni kwa aibu
Maana kashatuma kombora na linakaribia kutua Ukraine [emoji23][emoji23]
Unajifanya una wahi sehemu,Kama unamuaga vile,binti anakwambia
"Samahani Kama nimekukosea maana nimeshindwa kujizuia "
kidume unatabasamu yaani unamjibu kuwa aondoe Shaka.mbona kawaida tu
Raha iliyoje,unasogea karibu na gari yako unaiegamia huku ukipiga simu isiyo eleweka unampigia Nani.
Huku ukitafakari maneno uliyoambiwa na binti ,una muita kwa ishara ya vidole kuvinyoosha na kuvikunja[emoji23][emoji23]
Maana,kumbuka upo dukani Kuna watu wanaingia na kutoka halafu Kuna ile nishai au aibu yaani we mtu mzima uongee na under 18 mbele Za watu haiwezekani
Wakati binti anakusogelea anaangusha kipochi Chake kwa bahati mbaya au maksudi ile anageuka na kuinama kuokota alichoangusha
Mtu mzima mapigo ya moyo yanaongezeka maana vinu vya nyuklia anavyotamba navyo Putin unaviona live bila chenga [emoji23][emoji23]
Wakati huo unajiuliza,
Je, siyo mtego huu?
Je,siyo mwanafunzi huyu?
Wakati huo furaha tupu yaani homa na viloja vyote vimekimbia .
Mara binti anakusogelea na kukugusa bega,
weeeeeee ndipo unapozinduka baada ya mkeo kukuamsha uwahi kazini huku ukiwa kijihasira kwa mbali maana ndoto zingine zimekaa kiwaki sana
Mpira ni burudani wakuu, we enjoy pasi za Khalid aucho,
Enjoy mipira ya beki Shomari kibwana
Furahia pasi za mwisho za mkongwe Saidoo na mitik tak ya Mayele
Utafurahia mpaka Basi,
Acha na GSM sijui Manara Mara Senzo Mara sijui Bumbuli we hao waone Kama magugu yanayojiotea yenyewe shambani
Wakati we umepanda vitu vyako
Alamski.