Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akijibiwa hatutaki malalamiko kuwa ananyanyapaliwa
Tulieni mbeleko fc naona mnapunguza stress hapa.. Bado mtibwa asha watimba tena, kila mtu anajipigia tuu, malinzi hayupo tena tff.. Soka la heshima linarejea tz na mnyama ndio atanza kuwek heshima.Manara ana kaushamba fulani hivi ila yeye anajiona mjanja! Tangu waingie madarakani ndio wameshinda ligi kwa mara ya kwanza yani tangu mzee Jiwe akiwa waziri wa uvuvi mpaka sasa yupo magogoni! Simba acheni ulimbukeni bhana kuwa bingwa ni jambo la kawaida
Mnaomba poo... Kazi yake ndio hiyo mlitaka kuwa kama yule sharobaro wenu.. Mapovu fc..Akijibiwa hatutaki malalamiko kuwa ananyanyapaliwa
Hayo hayo matope ndiyo yatatumika kumjibuAkijibiwa itakuwa Hajanyanyapaliwa, Bali Akitukanwa au Kudhalilishwa Hapo itakuwa Amenyanyapaliwa.
Hebu toa Matope Kichwani ili uingize akili.
Mbumbumbu fc ktk ubora wenu mlivyopigwa na Prison na Kagera Malinzi ndiye alikuwa uwanjani, mkakata rufaa Fifa rais wa Fifa Malinzi akaikataaTulieni mbeleko fc naona mnapunguza stress hapa.. Bado mtibwa asha watimba tena, kila mtu anajipigia tuu, malinzi hayupo tena tff.. Soka la heshima linarejea tz na mnyama ndio atanza kuwek heshima.
Unajifanya hujui nini kilitokea.. Ila yote tisa, umeona mwanaume achekuaje kombe, sio point za kuibaiba, mara magoli.. Ushindi mijurabuu kabisaa.. Tulieni tuitangaze nchi kialali sasa nyie vilaza fc.Mbumbumbu fc ktk ubora wenu mlivyopigwa na Prison na Kagera Malinzi ndiye alikuwa uwanjani, mkakata rufaa Fifa rais wa Fifa Malinzi akaikataa
Tulia ndugu na muache kulia lia! Yanga imekuwa bingwa wa nchi hii kabla ya huyo Malinzi! Mpira ni pesa na maandalizi! Ndio mana msimu huu simba imekuwa na pesa/ilijiandaa vizuri na imefanya vema! Kinyume chake ikawa kwa Yanga! Mlikosa ubingwa kwa misimu mingi kwa sababu hamkuwa vizuri kiuchumi hata raisi wa Tff angekuwa Manara msingeshinda!Tulieni mbeleko fc naona mnapunguza stress hapa.. Bado mtibwa asha watimba tena, kila mtu anajipigia tuu, malinzi hayupo tena tff.. Soka la heshima linarejea tz na mnyama ndio atanza kuwek heshima.
Hizo ni sababu zako ila ukweli unafahamika hata yeye alikiri kuwa hatutachukua mpaka atoke madarakani, we ndio nani ukatae, pili ki uchumi tulikuwa sawa na Yanga tatizo nyie hamuwezi simama peke yenu, kama huamini endelea ku subiria.Tulia ndugu na muache kulia lia! Yanga imekuwa bingwa wa nchi hii kabla ya huyo Malinzi! Mpira ni pesa na maandalizi! Ndio mana msimu huu simba imekuwa na pesa/ilijiandaa vizuri na imefanya vema! Kinyume chake ikawa kwa Yanga! Mlikosa ubingwa kwa misimu mingi kwa sababu hamkuwa vizuri kiuchumi hata raisi wa Tff angekuwa Manara msingeshinda!
Mkuu hawa jamaa aliyewaita mbumbumbu hakukosea watakuumiza kichwa bure, timu imechukua ubingwa mara saba katika miaka 10 miaka yote hiyo Rais alikuwa Malinzi, yule msemaji wao kawashikia akili, wangejiuliza swali dogo tu rufaa yao Fifa iliishia wapi kama Malinzi aliwaonea,Tulia ndugu na muache kulia lia! Yanga imekuwa bingwa wa nchi hii kabla ya huyo Malinzi! Mpira ni pesa na maandalizi! Ndio mana msimu huu simba imekuwa na pesa/ilijiandaa vizuri na imefanya vema! Kinyume chake ikawa kwa Yanga! Mlikosa ubingwa kwa misimu mingi kwa sababu hamkuwa vizuri kiuchumi hata raisi wa Tff angekuwa Manara msingeshinda!
Ok! Yanga imeshinda ubingwa wa bara mara zaidi ya 20! Kote huko alitubeba Malinzi?Hizo ni sababu zako ila ukweli unafahamika hata yeye alikiri kuwa hatutachukua mpaka atoke madarakani, we ndio nani ukatae, pili ki uchumi tulikuwa sawa na Yanga tatizo nyie hamuwezi simama peke yenu, kama huamini endelea ku subiria.
Jaribu kuwa mcha mungu usiwe kama jiweHuyu akienda Shinyanga bila ulinzi atarudi bia mikono nyambafu
Nashukuru mkuu! Ngoja niachane nao, kweli yule mwimba taarabu kawashika vibayaMkuu hawa jamaa aliyewaita mbumbumbu hakukosea watakuumiza kichwa bure, timu imechukua ubingwa mara saba katika miaka 10 miaka yote hiyo Rais alikuwa Malinzi, yule msemaji wao kawashikia akili, wangejiuliza swali dogo tu rufaa yao Fifa iliishia wapi kama Malinzi aliwaonea,
Mungu kampa hadi ulemavu wa akili. Huo mmoja hautoshi.Aaache ujuha wake. Ana matatizo ya kichwa nini. Yeye na mtindio wake wa ubongo asituzingue. Yanga na Simba wametoka mbali utani wa jadi umeanza hata babaake hajazaliwa leo aisambaratishe Yanga kwa upuuzi waje. Acha hizo dogo.
Huu ni ulimbukeni kabisaManara ana kaushamba fulani hivi ila yeye anajiona mjanja! Tangu waingie madarakani ndio wameshinda ligi kwa mara ya kwanza yani tangu mzee Jiwe akiwa waziri wa uvuvi mpaka sasa yupo magogoni! Simba acheni ulimbukeni bhana kuwa bingwa ni jambo la kawaida