Manara:Siku ya Jumanne nitaongea mambo mazito,,Yanga hawatatumia mitandao ya kijamii

Akijibiwa hatutaki malalamiko kuwa ananyanyapaliwa
 
Akijibiwa hatutaki malalamiko kuwa ananyanyapaliwa

Akijibiwa itakuwa Hajanyanyapaliwa, Bali Akitukanwa au Kudhalilishwa Hapo itakuwa Amenyanyapaliwa.

Hebu toa Matope Kichwani ili uingize akili.
 
Tulieni mbeleko fc naona mnapunguza stress hapa.. Bado mtibwa asha watimba tena, kila mtu anajipigia tuu, malinzi hayupo tena tff.. Soka la heshima linarejea tz na mnyama ndio atanza kuwek heshima.
 
Akijibiwa itakuwa Hajanyanyapaliwa, Bali Akitukanwa au Kudhalilishwa Hapo itakuwa Amenyanyapaliwa.

Hebu toa Matope Kichwani ili uingize akili.
Hayo hayo matope ndiyo yatatumika kumjibu
 
Tulieni mbeleko fc naona mnapunguza stress hapa.. Bado mtibwa asha watimba tena, kila mtu anajipigia tuu, malinzi hayupo tena tff.. Soka la heshima linarejea tz na mnyama ndio atanza kuwek heshima.
Mbumbumbu fc ktk ubora wenu mlivyopigwa na Prison na Kagera Malinzi ndiye alikuwa uwanjani, mkakata rufaa Fifa rais wa Fifa Malinzi akaikataa
 
Yanga siku hizi ni walaini kama marinda ya James Delicious [emoji4]
 
Mbumbumbu fc ktk ubora wenu mlivyopigwa na Prison na Kagera Malinzi ndiye alikuwa uwanjani, mkakata rufaa Fifa rais wa Fifa Malinzi akaikataa
Unajifanya hujui nini kilitokea.. Ila yote tisa, umeona mwanaume achekuaje kombe, sio point za kuibaiba, mara magoli.. Ushindi mijurabuu kabisaa.. Tulieni tuitangaze nchi kialali sasa nyie vilaza fc.
 
Tulieni mbeleko fc naona mnapunguza stress hapa.. Bado mtibwa asha watimba tena, kila mtu anajipigia tuu, malinzi hayupo tena tff.. Soka la heshima linarejea tz na mnyama ndio atanza kuwek heshima.
Tulia ndugu na muache kulia lia! Yanga imekuwa bingwa wa nchi hii kabla ya huyo Malinzi! Mpira ni pesa na maandalizi! Ndio mana msimu huu simba imekuwa na pesa/ilijiandaa vizuri na imefanya vema! Kinyume chake ikawa kwa Yanga! Mlikosa ubingwa kwa misimu mingi kwa sababu hamkuwa vizuri kiuchumi hata raisi wa Tff angekuwa Manara msingeshinda!
 
Hizo ni sababu zako ila ukweli unafahamika hata yeye alikiri kuwa hatutachukua mpaka atoke madarakani, we ndio nani ukatae, pili ki uchumi tulikuwa sawa na Yanga tatizo nyie hamuwezi simama peke yenu, kama huamini endelea ku subiria.
 
Mkuu hawa jamaa aliyewaita mbumbumbu hakukosea watakuumiza kichwa bure, timu imechukua ubingwa mara saba katika miaka 10 miaka yote hiyo Rais alikuwa Malinzi, yule msemaji wao kawashikia akili, wangejiuliza swali dogo tu rufaa yao Fifa iliishia wapi kama Malinzi aliwaonea,
 
Mimi si mshabiki wa mpira kivile lakini kuna watu wanajua kujibeba-Manara, Julio, Bwire hawa tambo zao ni starehe tosha-washinde washindwe haijalishi. Wanaufanya mpira unoge. Na mzee wa kipenga cha mwisho pia.
 
Hizo ni sababu zako ila ukweli unafahamika hata yeye alikiri kuwa hatutachukua mpaka atoke madarakani, we ndio nani ukatae, pili ki uchumi tulikuwa sawa na Yanga tatizo nyie hamuwezi simama peke yenu, kama huamini endelea ku subiria.
Ok! Yanga imeshinda ubingwa wa bara mara zaidi ya 20! Kote huko alitubeba Malinzi?
 
Nashukuru mkuu! Ngoja niachane nao, kweli yule mwimba taarabu kawashika vibaya
 
Matokeo y'a manara Vs kagera vp??? ubingwa bila kufungwa
 
Aaache ujuha wake. Ana matatizo ya kichwa nini. Yeye na mtindio wake wa ubongo asituzingue. Yanga na Simba wametoka mbali utani wa jadi umeanza hata babaake hajazaliwa leo aisambaratishe Yanga kwa upuuzi waje. Acha hizo dogo.
Mungu kampa hadi ulemavu wa akili. Huo mmoja hautoshi.
Angalau kwenye mpira kapumzika kuuza magari hewa Kariakoo.
 
Huu ni ulimbukeni kabisa
 
Jumanne mbona mbali sana. Atoe tu uharo wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…