Manara:Siku ya Jumanne nitaongea mambo mazito,,Yanga hawatatumia mitandao ya kijamii

Yanga wameshaanza kuweweseka tayari humu JF.
 
Muombe samahani Manara huwezi kumlinganisha na yule mzee Pangu Pakavu

Manara na Mzee Akilimali hawana tafauti kwanza wote wazawa wa Kigoma pili hapo kwenye hivyo vilabu kazi yao ni kupiga kelele tu hakuna la maana wanalofanya tatu wote akili zao zinaonekana zilipata shida kidogo.

Ndio, kwa Nini wasiwe waswahili na treni iliyobeba kiswahili iliharibikia Tabora? Hebu niambie Nani anaongea kiswahili kizuri kama mnyamwezi? Nimekuelewa ila nadhani jibu hilo linakufaa [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hahahahahaaa! Nipo Bachu hapa. Karibu mkuu.
 
Sasa mnalialia nini? Vyura ninyi!
 
Hovyooooooo.

Mie nakosaga hata kundi la kumuweka. Hivyo tusitumie mitandao kisa pumba zake. Khaaaaa.
Mdomo ndio unaomuweka mjini,na ss hivi anazichota kweli kweli kwa hawa mbumbumbu wa huku mitaani,achagui hata akimkuta mkia muuza njugu atampiga kamba then mwisho lzm ampige kirungu [emoji2]
 
Huyu mpumbavu tuu,bangi zinamsumbua
 
Manara na Mzee Akilimali hawana tafauti kwanza wote wazawa wa Kigoma pili hapo kwenye hivyo vilabu kazi yao ni kupiga kelele tu hakuna la maana wanalofanya tatu wote akili zao zinaonekana zilipata shida kidogo.

Duuuuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…