Lakni kwa hili .....naona yupo sahihi...... makolo...tumepigwaManara ajui mambo mengi,aliwai kusema Yanga anaanzia round inayofuata caf alafu Simba itaanzia hatua ya awali na wafuasi wake wakashangilia[emoji125][emoji125][emoji125]
Shida Ni kwamba .....hapendi mtani apate shida.........sio Kama msimu uliopita mlianza kulilia" fair competition"Sasa yeye Manara kama Simba inapotezwa si ndio akae kimya akifurahia, vipi tena anaumia?.
Yaani unamuona mbaya wako anapotea njia unaanza kumshtua "ni huku huko unapotea".
WANAJIONGEZA AU SIOIla ukifikiria Ni Kama tumeeditiwa 00000
[emoji28][emoji23][emoji23]
Simba Sports Club (wanachama) wana hisa asilimia 51 sawa na 25 Bilioni.Ficha upumbavu wako.
Mo anamiliki asilimia 49 ya hisa sawa na 20 Bilioni
Simba Sports Club (wanachama) wana hisa asilimia 51 sawa na 25 Bilioni.
Thamani ya Simba ni 20+25 = 45 Bilioni.
Udhamini wa 26 billioni kwa miaka 5 tena ni mdogo mno kwa hadhi ya Simba ya sasa.
FICHA UPUMBAVU WAKO.
Hatutaki ndugu yetu kolo.....apotee baadae aanze kulalamikia fair competitionkila kukicha ni yanga kuizungumzia simba, nilidhani baada ya kuchukua ubingwa mtatulia kidogo lkn bado hamjiamini mnahangaika kujilinganisha na timu iliyokosa ubingwa.
Mwamedi aliwapa Lin hzo 20bYani manara na utopolo sijui akili za kawaida watazipata lini. Udhamini ni wa kila mwaka, simba ambapo ukiangalia wastani kila mwaka simba atapata 5.2b. Na katika mkataba huo wameona uwe wa miaka 5, wangeweza kuufanya hata miaka 10 (yaani iwe 5.2b*10=52b. Yani hakuna namna yoyote hiyo hela ya udhamini isizidi thamani ya club katika hiyo miaka ya udhamini. Pia mwambieni manara kuwa huyo ni mdhamini mmoja tu, ukiunganisha wafhamini wote inaweza fika >40b.
Pia mkumbusheni huyo popoma kuwa 20b za Mo ni 49% pekee. Akiona kuna udanganyifu kwenye hilo deal la M-bet aende mahakamani akashtaki ili moyo wake utulie.
Mbna umepanic mkuu[emoji23][emoji23]Endeleeni kunuka vinyesi huku wenzenu wakinukia hela.
Mtajijua wenyewe huko na vinyesi vyenu
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app