Manara: Simba, mkataba wenu mmedanganywa

Manara: Simba, mkataba wenu mmedanganywa

Simba itaendelea kumsumbua Sasa hivi hata pre season kabaki hapa, ameshindwa kuhoji mkataba wa jezi yanga ambao wanapata 1350 kila jezi anarukia mambo ya Simba
Vp we umeamini mkataba wa MAKOLO.....binafsi naona zimengezwa 000
 
Kwani yy ninani ktk taifa hili?( cheo chake) tuanzie hapo kwanza
Yeye huwa hapendi kudanganywa ( chupli chupli)....that's y mambo yetu Simba yakiwa ya uwazi huwa Hana shida
 
Manara ajui mambo mengi,aliwai kusema Yanga anaanzia round inayofuata caf alafu Simba itaanzia hatua ya awali na wafuasi wake wakashangilia[emoji125][emoji125][emoji125]
Lakni kwa hili .....naona yupo sahihi...... makolo...tumepigwa
 
Sasa yeye Manara kama Simba inapotezwa si ndio akae kimya akifurahia, vipi tena anaumia?.

Yaani unamuona mbaya wako anapotea njia unaanza kumshtua "ni huku huko unapotea".
Shida Ni kwamba .....hapendi mtani apate shida.........sio Kama msimu uliopita mlianza kulilia" fair competition"
 
Ficha upumbavu wako.

Mo anamiliki asilimia 49 ya hisa sawa na 20 Bilioni

Simba Sports Club (wanachama) wana hisa asilimia 51 sawa na 25 Bilioni.

Thamani ya Simba ni 20+25 = 45 Bilioni.

Udhamini wa 26 billioni kwa miaka 5 tena ni mdogo mno kwa hadhi ya Simba ya sasa.

FICHA UPUMBAVU WAKO.
Simba Sports Club (wanachama) wana hisa asilimia 51 sawa na 25 Bilioni.

Thamani ya Simba ni 20+25 = 45 Bilioni

..............
Mkuu unaamini kweli hisa za wanachama Ni 25 billion .......ikiwa mlishindwa hata kuchangia hata 80 million ujenz wa uwanja
 
Tumalize kwanza hili
JamiiForums609170097_480x489.jpg
 
kila kukicha ni yanga kuizungumzia simba, nilidhani baada ya kuchukua ubingwa mtatulia kidogo lkn bado hamjiamini mnahangaika kujilinganisha na timu iliyokosa ubingwa.
Hatutaki ndugu yetu kolo.....apotee baadae aanze kulalamikia fair competition
 
Yani manara na utopolo sijui akili za kawaida watazipata lini. Udhamini ni wa kila mwaka, simba ambapo ukiangalia wastani kila mwaka simba atapata 5.2b. Na katika mkataba huo wameona uwe wa miaka 5, wangeweza kuufanya hata miaka 10 (yaani iwe 5.2b*10=52b. Yani hakuna namna yoyote hiyo hela ya udhamini isizidi thamani ya club katika hiyo miaka ya udhamini. Pia mwambieni manara kuwa huyo ni mdhamini mmoja tu, ukiunganisha wafhamini wote inaweza fika >40b.
Pia mkumbusheni huyo popoma kuwa 20b za Mo ni 49% pekee. Akiona kuna udanganyifu kwenye hilo deal la M-bet aende mahakamani akashtaki ili moyo wake utulie.
Mwamedi aliwapa Lin hzo 20b
 
Back
Top Bottom