Manara: Simba, mkataba wenu mmedanganywa

Tunaiomba TFF itowe ufafanuzi hivi adhabu ya hili hili Dubwasha mipaka yake ipoje? Mbona naona kama yupo huru tuu???
Hivi kambi au ufadhili wa Simba sio kujihusisha kama mdau wa michezo???
Tunataka tupumzike na DOMO la huyu kiumbe mimaneno yake inakera mnooo!
 
Mkuu.....inamaanisha hamtaki kuusikia ukweli
 
Mambo ya simba imepata bilioni 26 ni suala linaloambatana na document support. Kama document support zinaonesha hivyo basi kubishana na MANARA ni kupoteza muda.
Ingawa sisi watu wa kawaida tunaangalia makombe na performance ya timu mengine hayana nguvu Sana kwa sisi watu wa kawaida ( Kwasababu,burudani yetu sisi watu wa kawaida ni timu inapocheza vizuri na kushinda mechi zake. Hayo mengine ni ziada tu).
 
Document support wamenyesha jez tu iliyoandikwa 26b
 
Document support wamenyesha jez tu iliyoandikwa 26b
Jezi siyo document support, labda tunaweza kuiita ni kipeperushi.
Ambacho kazi yake ni kutoa maelezo kwa ufupi ya kile kinachoendelea nyuma ya pazia(document support). Kwasababu, Hadi kufikia kutengeneza jezi hiyo kulikuwa Kuna mchakato fulani.
 
Hahahaha Kuna tofauti kati cheki yenye iliyoandikwa.pesa na jezi iliyoandikwa pesa [emoji2]
 
Billion 20 za Mo kwa 49% billion 26 za M BET kwa 100% kwa miaka 5 hivi utopolo akili mlipeleka wapi.
 
Billion 20 za Mo kwa 49% billion 26 za M BET kwa 100% kwa miaka 5 hivi utopolo akili mlipeleka wapi.
Thamani ya timu inaweza ikaongezeka au ikapungua, kufikiri kuwa thamani ya timu inabaki vilevile kama lilivyo jiwe ni kukosea Sana.
Mpira ni biashara unaweza ukaweka bilioni 20 ukapata bilioni 60 hasa kama timu inafanya vizuri kimataifa na mmeuza jezi, wachezaji na haki za maudhui kutaja chache.
Hivyo timu ya Simba Sasa hivi ina thamani kubwa zaidi kuliko ilivyokuwa miaka 5 nyuma.
 
Manara ajui mambo mengi,aliwai kusema Yanga anaanzia round inayofuata caf alafu Simba itaanzia hatua ya awali na wafuasi wake wakashangilia[emoji125][emoji125][emoji125]
Anajua ila aliamua kujitoa akili
 
Sina undugu na wewe..nakukataa..
 
Jezi siyo document support, labda tunaweza kuiita ni kipeperushi.
Ambacho kazi yake ni kutoa maelezo kwa ufupi ya kile kinachoendelea nyuma ya pazia(document support). Kwasababu, Hadi kufikia kutengeneza jezi hiyo kulikuwa Kuna mchakato fulani.
Kwa tuliosoma Cuba tumeona ndugu zetu wamepigwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…