Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
SAWA, Tunachotaka ni kiwango cha mkataba kinaendana na thamani ya klabu inavyoendeshwaYaaah mkuu.....wazee wa kucheza na 000
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SAWA, Tunachotaka ni kiwango cha mkataba kinaendana na thamani ya klabu inavyoendeshwaYaaah mkuu.....wazee wa kucheza na 000
Tunaiomba TFF itowe ufafanuzi hivi adhabu ya hili hili Dubwasha mipaka yake ipoje? Mbona naona kama yupo huru tuu???UONGO [emoji23][emoji23]
Ila viongozi wa hii timu ni janja janja sana aisee khaa.
Oky.. Tulijua tu haya lazima yatatokea.. Waambieni ukweli mashabiki zenu acheni Porojo.. MO kaweka hisa Bilion 20 miaka yote.. Leo hii mdhamini aje aweke Bilion 26..
Ulisikia wapi Mdhamini ana zidi thamani ya klabu..
Enyi Wafuasi wa MFALME ZUMARADI.. Amkeni. Mnadanganywa hadharani. Timu yenu inaendeshwa kihuni.
Yapo ya kuwadanganya lakini sio hilo.. Mtatapeliwa sana mpaka mtakapo kuwa na akili za kujitambua.
Kuwaongoza BAMBUKICHA ni rahisi sana kwa kuwa wengi wao hawana akili, akili walizo nazo ni zile za kujua choo kiko wapi. Aisee?
𝘕𝘪 𝘩𝘢𝘺𝘰 𝘵𝘶..
Tuliosoma Cuba tumeona ......wengine wanaonyesha bango lenye pesa....wengine wanaonyesha jezi iliyoandikwa pesa[emoji23][emoji23][emoji23] ( ma gap)
Ndugu zangu makolo weñzangu tumepigwaView attachment 2311640
Mtu ushabiki wa mpira umeanzia kwa mayele haya mengine utayajulia wapi?Tumalize kwanza hiliView attachment 2311805
Mkuu.....inamaanisha hamtaki kuusikia ukweliTunaiomba TFF itowe ufafanuzi hivi adhabu ya hili hili Dubwasha mipaka yake ipoje? Mbona naona kama yupo huru tuu???
Hivi kambi au ufadhili wa Simba sio kujihusisha kama mdau wa michezo???
Tunataka tupumzike na DOMO la huyu kiumbe mimaneno yake inakera mnooo!
Mbona sioni kiasi cha fedha kilichoandikwa......kama KOLOMtu ushabiki wa mpira umeanzia kwa mayele haya mengine utayajulia wapi? View attachment 2311874View attachment 2311875View attachment 2311876
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Document support wamenyesha jez tu iliyoandikwa 26bMambo ya simba imepata bilioni 26 ni suala linaloambatana na document support. Kama document support zinaonesha hivyo basi kubishana na MANARA ni kupoteza muda.
Ingawa sisi watu wa kawaida tunaangalia makombe na performance ya timu mengine hayana nguvu Sana kwa sisi watu wa kawaida ( Kwasababu,burudani yetu ni timu inapocheza vizuri na kushinda mechi zake. Hayo mengine ni ziada tu).
Jezi siyo document support, labda tunaweza kuiita ni kipeperushi.Document support wamenyesha jez tu iliyoandikwa 26b
Hahahaha Kuna tofauti kati cheki yenye iliyoandikwa.pesa na jezi iliyoandikwa pesa [emoji2]UONGO [emoji23][emoji23]
Ila viongozi wa hii timu ni janja janja sana aisee khaa.
Oky.. Tulijua tu haya lazima yatatokea.. Waambieni ukweli mashabiki zenu acheni Porojo.. MO kaweka hisa Bilion 20 miaka yote.. Leo hii mdhamini aje aweke Bilion 26..
Ulisikia wapi Mdhamini ana zidi thamani ya klabu..
Enyi Wafuasi wa MFALME ZUMARADI.. Amkeni. Mnadanganywa hadharani. Timu yenu inaendeshwa kihuni.
Yapo ya kuwadanganya lakini sio hilo.. Mtatapeliwa sana mpaka mtakapo kuwa na akili za kujitambua.
Kuwaongoza BAMBUKICHA ni rahisi sana kwa kuwa wengi wao hawana akili, akili walizo nazo ni zile za kujua choo kiko wapi. Aisee?
𝘕𝘪 𝘩𝘢𝘺𝘰 𝘵𝘶..
Tuliosoma Cuba tumeona ......wengine wanaonyesha bango lenye pesa....wengine wanaonyesha jezi iliyoandikwa pesa[emoji23][emoji23][emoji23] ( ma gap)
Ndugu zangu makolo weñzangu tumepigwaView attachment 2311640
Thamani ya timu inaweza ikaongezeka au ikapungua, kufikiri kuwa thamani ya timu inabaki vilevile kama lilivyo jiwe ni kukosea Sana.Billion 20 za Mo kwa 49% billion 26 za M BET kwa 100% kwa miaka 5 hivi utopolo akili mlipeleka wapi.
Nenda kaombe bank statement ya simba ili roho yako isuuzike. Au unataka ipitie kwenye account yako ndio uamini mkuu.Mwamedi aliwapa Lin hzo 20b
Anajua ila aliamua kujitoa akiliManara ajui mambo mengi,aliwai kusema Yanga anaanzia round inayofuata caf alafu Simba itaanzia hatua ya awali na wafuasi wake wakashangilia[emoji125][emoji125][emoji125]
Thamani ya klabu ni 20b
HALAFU MWAMEDI SIMUONI SIKU HIZIThamani ya klabu ni 20b
UONGO [emoji23][emoji23]
Ila viongozi wa hii timu ni janja janja sana aisee khaa.
Oky.. Tulijua tu haya lazima yatatokea.. Waambieni ukweli mashabiki zenu acheni Porojo.. MO kaweka hisa Bilion 20 miaka yote.. Leo hii mdhamini aje aweke Bilion 26..
Ulisikia wapi Mdhamini ana zidi thamani ya klabu..
Enyi Wafuasi wa MFALME ZUMARADI.. Amkeni. Mnadanganywa hadharani. Timu yenu inaendeshwa kihuni.
Yapo ya kuwadanganya lakini sio hilo.. Mtatapeliwa sana mpaka mtakapo kuwa na akili za kujitambua.
Kuwaongoza BAMBUKICHA ni rahisi sana kwa kuwa wengi wao hawana akili, akili walizo nazo ni zile za kujua choo kiko wapi. Aisee?
𝘕𝘪 𝘩𝘢𝘺𝘰 𝘵𝘶..
Tuliosoma Cuba tumeona ......wengine wanaonyesha bango lenye pesa....wengine wanaonyesha jezi iliyoandikwa pesa[emoji23][emoji23][emoji23] ( ma gap)
Ndugu zangu makolo weñzangu tumepigwaView attachment 2311640
Kwa tuliosoma Cuba tumeona ndugu zetu wamepigwaJezi siyo document support, labda tunaweza kuiita ni kipeperushi.
Ambacho kazi yake ni kutoa maelezo kwa ufupi ya kile kinachoendelea nyuma ya pazia(document support). Kwasababu, Hadi kufikia kutengeneza jezi hiyo kulikuwa Kuna mchakato fulani.