Lkn mmezidisha namba hapo.......muda utaongeaThamani ya timu inaweza ikaongezeka au ikapungua, kufikiri kuwa thamani ya timu inabaki vilevile kama lilivyo jiwe ni kukosea Sana.
Mpira ni biashara unaweza ukaweka bilioni 20 ukapata bilioni 60 hasa kama timu inafanya vizuri kimataifa na mmeuza jezi, wachezaji na haki za maudhui kutaja chache.
Hivyo timu ya Simba Sasa hivi ina thamani kubwa zaidi kuliko ilivyokuwa miaka 5 nyuma.
Simba Sports Club (wanachama) wana hisa asilimia 51 sawa na 25 Bilioni.
Thamani ya Simba ni 20+25 = 45 Bilioni
..............
Mkuu unaamini kweli hisa za wanachama Ni 25 billion .......ikiwa mlishindwa hata kuchangia hata 80 million ujenz wa uwanja
Tatizo lako unakariri ukidhani thamani ya kitu ni pesa halisi zilizopo benki. Hiyo 25 Bilioni ni thamani katika tathmini au Goodwill ukipenda. Ukitaka kuuza hisa za Simba Sports Club (wanachama) thamani yake ni hiyo 25 bilioni kwa kipindi kile na inawezekana kwa sasa imepanda au kushuka. Ila tu kwa sababu ya mafanikio iliopitia Simba thamani itakuwa imepanda. Fikiria klabu inakuwa na mchezaji anauzwa Bilioni moja. Kwanini isiwe na thamani ya 50 bilioniSimba Sports Club (wanachama) wana hisa asilimia 51 sawa na 25 Bilioni.
Thamani ya Simba ni 20+25 = 45 Bilioni
..............
Mkuu unaamini kweli hisa za wanachama Ni 25 billion .......ikiwa mlishindwa hata kuchangia hata 80 million ujenz wa uwanja
Lkn kawaambia ukweliunashindana na Walace karia
Simba mwenzio kakunyooshaView attachment 2312388
Kaongea fact mkuuSope unabwabwaja sanaView attachment 2312624
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Kaongea fact mkuuSope unabwabwaja sanaView attachment 2312624
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Maybe inaweza kuwa kweliTatizo lako unakariri ukidhani thamani ya kitu ni pesa halisi zilizopo benki. Hiyo 25 Bilioni ni thamani katika tathmini au Goodwill ukipenda. Ukitaka kuuza hisa za Simba Sports Club (wanachama) thamani yake ni hiyo 25 bilioni kwa kipindi kile na inawezekana kwa sasa imepanda au kushuka. Ila tu kwa sababu ya mafanikio iliopitia Simba thamani itakuwa imepanda. Fikiria klabu inakuwa na mchezaji anauzwa Bilioni moja. Kwanini isiwe na thamani ya 50 bilioni
UONGO [emoji23][emoji23]
Ila viongozi wa hii timu ni janja janja sana aisee khaa.
Oky.. Tulijua tu haya lazima yatatokea.. Waambieni ukweli mashabiki zenu acheni Porojo.. MO kaweka hisa Bilion 20 miaka yote.. Leo hii mdhamini aje aweke Bilion 26..
Ulisikia wapi Mdhamini ana zidi thamani ya klabu..
Enyi Wafuasi wa MFALME ZUMARADI.. Amkeni. Mnadanganywa hadharani. Timu yenu inaendeshwa kihuni.
Yapo ya kuwadanganya lakini sio hilo.. Mtatapeliwa sana mpaka mtakapo kuwa na akili za kujitambua.
Kuwaongoza BAMBUKICHA ni rahisi sana kwa kuwa wengi wao hawana akili, akili walizo nazo ni zile za kujua choo kiko wapi. Aisee?
𝘕𝘪 𝘩𝘢𝘺𝘰 𝘵𝘶..
Tuliosoma Cuba tumeona ......wengine wanaonyesha bango lenye pesa....wengine wanaonyesha jezi iliyoandikwa pesa[emoji23][emoji23][emoji23] ( ma gap)
Ndugu zangu makolo weñzangu tumepigwaView attachment 2311640