Manara: Simba, mkataba wenu mmedanganywa

Manara: Simba, mkataba wenu mmedanganywa

Thamani ya timu inaweza ikaongezeka au ikapungua, kufikiri kuwa thamani ya timu inabaki vilevile kama lilivyo jiwe ni kukosea Sana.
Mpira ni biashara unaweza ukaweka bilioni 20 ukapata bilioni 60 hasa kama timu inafanya vizuri kimataifa na mmeuza jezi, wachezaji na haki za maudhui kutaja chache.
Hivyo timu ya Simba Sasa hivi ina thamani kubwa zaidi kuliko ilivyokuwa miaka 5 nyuma.
Lkn mmezidisha namba hapo.......muda utaongea
 
Nenda kaombe bank statement ya simba ili roho yako isuuzike. Au unataka ipitie kwenye account yako ndio uamini mkuu.
Utopolo tumieni akili acheni wivu.
Mmepigwa mkuu[emoji23]
 
Simba Sports Club (wanachama) wana hisa asilimia 51 sawa na 25 Bilioni.

Thamani ya Simba ni 20+25 = 45 Bilioni

..............
Mkuu unaamini kweli hisa za wanachama Ni 25 billion .......ikiwa mlishindwa hata kuchangia hata 80 million ujenz wa uwanja

Kuna uwanja unajengwa kwa 80 mil??Kinye fc vp lkn?
 
unashindana na Walace karia
Simba mwenzio kakunyoosha
JamiiForums1685858541.jpg
 
Simba Sports Club (wanachama) wana hisa asilimia 51 sawa na 25 Bilioni.

Thamani ya Simba ni 20+25 = 45 Bilioni

..............
Mkuu unaamini kweli hisa za wanachama Ni 25 billion .......ikiwa mlishindwa hata kuchangia hata 80 million ujenz wa uwanja
Tatizo lako unakariri ukidhani thamani ya kitu ni pesa halisi zilizopo benki. Hiyo 25 Bilioni ni thamani katika tathmini au Goodwill ukipenda. Ukitaka kuuza hisa za Simba Sports Club (wanachama) thamani yake ni hiyo 25 bilioni kwa kipindi kile na inawezekana kwa sasa imepanda au kushuka. Ila tu kwa sababu ya mafanikio iliopitia Simba thamani itakuwa imepanda. Fikiria klabu inakuwa na mchezaji anauzwa Bilioni moja. Kwanini isiwe na thamani ya 50 bilioni
 
Maybe inaweza kuwa kweli
 
UONGO [emoji23][emoji23]

Ila viongozi wa hii timu ni janja janja sana aisee khaa.

Oky.. Tulijua tu haya lazima yatatokea.. Waambieni ukweli mashabiki zenu acheni Porojo.. MO kaweka hisa Bilion 20 miaka yote.. Leo hii mdhamini aje aweke Bilion 26..

Ulisikia wapi Mdhamini ana zidi thamani ya klabu..

Enyi Wafuasi wa MFALME ZUMARADI.. Amkeni. Mnadanganywa hadharani. Timu yenu inaendeshwa kihuni.

Yapo ya kuwadanganya lakini sio hilo.. Mtatapeliwa sana mpaka mtakapo kuwa na akili za kujitambua.
Kuwaongoza BAMBUKICHA ni rahisi sana kwa kuwa wengi wao hawana akili, akili walizo nazo ni zile za kujua choo kiko wapi. Aisee?

𝘕𝘪 𝘩𝘢𝘺𝘰 𝘵𝘶..

Tuliosoma Cuba tumeona ......wengine wanaonyesha bango lenye pesa....wengine wanaonyesha jezi iliyoandikwa pesa[emoji23][emoji23][emoji23] ( ma gap)

Ndugu zangu makolo weñzangu tumepigwaView attachment 2311640

Kama kweli kaandika hivyo, kweli jamaa ni zero brain
 
Back
Top Bottom