Manara: Simba, mkataba wenu mmedanganywa

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
UONGO [emoji23][emoji23]

Ila viongozi wa hii timu ni janja janja sana aisee khaa.

Oky.. Tulijua tu haya lazima yatatokea.. Waambieni ukweli mashabiki zenu acheni Porojo.. MO kaweka hisa Bilion 20 miaka yote.. Leo hii mdhamini aje aweke Bilion 26..

Ulisikia wapi Mdhamini ana zidi thamani ya klabu..

Enyi Wafuasi wa MFALME ZUMARADI.. Amkeni. Mnadanganywa hadharani. Timu yenu inaendeshwa kihuni.

Yapo ya kuwadanganya lakini sio hilo.. Mtatapeliwa sana mpaka mtakapo kuwa na akili za kujitambua.
Kuwaongoza BAMBUKICHA ni rahisi sana kwa kuwa wengi wao hawana akili, akili walizo nazo ni zile za kujua choo kiko wapi. Aisee?

𝘕𝘪 𝘩𝘢𝘺𝘰 𝘵𝘶..

Tuliosoma Cuba tumeona ......wengine wanaonyesha bango lenye pesa....wengine wanaonyesha jezi iliyoandikwa pesa[emoji23][emoji23][emoji23] ( ma gap)

Ndugu zangu makolo weñzangu tumepigwa
JamiiForums1713989875.jpg
 
Muulize huyo popoma mwingine, ni sharti gani linalozuia mkataba wa mdhamini usizidi thamani ya klabu?

Haoni hiyo ni mikataba miwili tofauti, inayokuwa na terms tofauti, kwa malengo tofauti?

Mwambie atumikie adhabu yake, mambo mengine yamemzidi kipimo.
 
Tangu walipo wekewa Ile B 20 ya mchongo na wakashangilia jamaa wameona Ile beat Ina faa wameamua wasibadilishe ni mwendo wa chupri tu.
 
Kwani yy ninani ktk taifa hili?( cheo chake) tuanzie hapo kwanza
 
Oky.. Tulijua tu haya lazima yatatokea.. Waambieni ukweli mashabiki zenu acheni Porojo.. MO kaweka hisa Bilion 20 miaka yote.. Leo hii mdhamini aje aweke Bilion 26..
Naona kama vile umepanic 😂😂 😂
 
UONGO [emoji23][emoji23]

Ila viongozi wa hii timu ni janja janja sana aisee khaa.

Oky.. Tulijua tu haya lazima yatatokea.. Waambieni ukweli mashabiki zenu acheni Porojo.. MO kaweka hisa Bilion 20 miaka yote.. Leo hii mdhamini aje aweke Bilion 26..

Ulisikia wapi Mdhamini ana zidi thamani ya klabu..

Enyi Wafuasi wa MFALME ZUMARADI.. Amkeni. Mnadanganywa hadharani. Timu yenu inaendeshwa kihuni.

Yapo ya kuwadanganya lakini sio hilo.. Mtatapeliwa sana mpaka mtakapo kuwa na akili za kujitambua.
Kuwaongoza BAMBUKICHA ni rahisi sana kwa kuwa wengi wao hawana akili, akili walizo nazo ni zile za kujua choo kiko wapi. Aisee?

𝘕𝘪 𝘩𝘢𝘺𝘰 𝘵𝘶..

Tuliosoma Cuba tumeona ......wengine wanaonyesha bango lenye pesa....wengine wanaonyesha jezi iliyoandikwa pesa[emoji23][emoji23][emoji23] ( ma gap)

Ndugu zangu makolo weñzangu tumepigwaView attachment 2311640
Ficha upumbavu wako.

Mo anamiliki asilimia 49 ya hisa sawa na 20 Bilioni

Simba Sports Club (wanachama) wana hisa asilimia 51 sawa na 25 Bilioni.

Thamani ya Simba ni 20+25 = 45 Bilioni.

Udhamini wa 26 billioni kwa miaka 5 tena ni mdogo mno kwa hadhi ya Simba ya sasa.

FICHA UPUMBAVU WAKO.
 
UONGO [emoji23][emoji23]

Ila viongozi wa hii timu ni janja janja sana aisee khaa.

Oky.. Tulijua tu haya lazima yatatokea.. Waambieni ukweli mashabiki zenu acheni Porojo.. MO kaweka hisa Bilion 20 miaka yote.. Leo hii mdhamini aje aweke Bilion 26..

Ulisikia wapi Mdhamini ana zidi thamani ya klabu..

Enyi Wafuasi wa MFALME ZUMARADI.. Amkeni. Mnadanganywa hadharani. Timu yenu inaendeshwa kihuni.

Yapo ya kuwadanganya lakini sio hilo.. Mtatapeliwa sana mpaka mtakapo kuwa na akili za kujitambua.
Kuwaongoza BAMBUKICHA ni rahisi sana kwa kuwa wengi wao hawana akili, akili walizo nazo ni zile za kujua choo kiko wapi. Aisee?

𝘕𝘪 𝘩𝘢𝘺𝘰 𝘵𝘶..

Tuliosoma Cuba tumeona ......wengine wanaonyesha bango lenye pesa....wengine wanaonyesha jezi iliyoandikwa pesa[emoji23][emoji23][emoji23] ( ma gap)

Ndugu zangu makolo weñzangu tumepigwaView attachment 2311640
Yani manara na utopolo sijui akili za kawaida watazipata lini. Udhamini ni wa kila mwaka, simba ambapo ukiangalia wastani kila mwaka simba atapata 5.2b. Na katika mkataba huo wameona uwe wa miaka 5, wangeweza kuufanya hata miaka 10 (yaani iwe 5.2b*10=52b. Yani hakuna namna yoyote hiyo hela ya udhamini isizidi thamani ya club katika hiyo miaka ya udhamini. Pia mwambieni manara kuwa huyo ni mdhamini mmoja tu, ukiunganisha wafhamini wote inaweza fika >40b.
Pia mkumbusheni huyo popoma kuwa 20b za Mo ni 49% pekee. Akiona kuna udanganyifu kwenye hilo deal la M-bet aende mahakamani akashtaki ili moyo wake utulie.
 
Muulize huyo popoma mwingine, ni sharti gani linalozuia mdhamini asizidi thamani ya klabu?

Haoni hiyo ni mikataba miwili tofauti, inayokuwa na terms tofauti, kwa malengo tofauti?

Mwambie atumikie adhabu yake, mambo mengine yamemzidi kipimo.
Mkuu....huamini kuwa Simba tumepigwa Kitu kizito
 
Tangu walipo wekewa Ile B 20 ya mchongo na wakashangilia jamaa wameona Ile beat Ina faa wameamua wasibadilishe ni mwendo wa chupri tu.
Kwa kawaida tu.....inaama mwamedi amekubali kuzidiwa na mdhamini mwenza?
 
Back
Top Bottom