Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
“Tutasaidiana kusukuma miradi ya kampuni (Yanga), nitashiriki kwenye Wiki ya Wananchi najua Tarehe 3 kuna watu watakuwa wanafagia uwanja alafu tarehe 4 sisi tuna jambo la kitaifa hili sitakuwa na haya tutalifanya kwa nguvu sana.
“Nitashiriki kutambulisha wachezaji, Tarehe 4 nitakuwepo kuwatambulisha kina Chama, Pacome, Aziz, Dube na wengine tuombe uhai na majaliwa, nitashiriki kuanzia hamasa hadi tukio lenyewe,” Haji Manara.
[emoji1607] @bintiiringo
#WasafiSports