fasiliteta
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 2,372
- 4,090
Nafikiri kwa Sasa Kuna haja aelezwe ukweli na si kuhofia kumnyanyapaa kisa ngozi yake. Anagombana na waandishi wengi na yeyote atakaye isema Simba ilimradi kwa kulinda ugali wake. Mbaya Zaidi anaingilia mpaka kwenye personal life na kumuharibia mtu image yake ndani ya jamii. Ukirudi kwa upande wake yeye ni namba moja kuongea atakalo kwa wenzie.
Waandishi wa habari wasipokua makini watashikwa mpaka kalio na huyo jamaa ili tu alinde ugali wake.
Sijawahi ona dunia nzima club inakutana na tetesi au habari ya uzushi Kisha wakaanza kumuattack mwandishi, Tena waandishi wa kule na wafanyakazi wa sekta za Michezo Wala hawafichagi ushabiki wao ktk team lakini hutoona akiattackiwa kwa ajili ya habari anayotoa.
Ethics za uandishi wa habari hana huyu Manara na hata viongozi wa Simba walijua muda tu basi ni ule ubwatukaji wake wenye lengo la kujipatia kula ndio wanaona waache.
Duniani yeye ndo msemaji pekee mwenye kuongelea club zingine na kuacha ya kwake, Ni yeye pekeee ndio anakubali tetesi za kuisifia Team yake tu na si negativity yake, Ni yeye pekeee ndio anajiona msemaji wa team na wengine sio wasemaji.
Mkimchekea Mbwa ipo siku atakufata mpaka mskitini.