Manara this is too much

Manara this is too much

fasiliteta

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2014
Posts
2,372
Reaction score
4,090
Nafikiri kwa Sasa Kuna haja aelezwe ukweli na si kuhofia kumnyanyapaa kisa ngozi yake. Anagombana na waandishi wengi na yeyote atakaye isema Simba ilimradi kwa kulinda ugali wake. Mbaya Zaidi anaingilia mpaka kwenye personal life na kumuharibia mtu image yake ndani ya jamii. Ukirudi kwa upande wake yeye ni namba moja kuongea atakalo kwa wenzie.

Waandishi wa habari wasipokua makini watashikwa mpaka kalio na huyo jamaa ili tu alinde ugali wake.

Sijawahi ona dunia nzima club inakutana na tetesi au habari ya uzushi Kisha wakaanza kumuattack mwandishi, Tena waandishi wa kule na wafanyakazi wa sekta za Michezo Wala hawafichagi ushabiki wao ktk team lakini hutoona akiattackiwa kwa ajili ya habari anayotoa.
Ethics za uandishi wa habari hana huyu Manara na hata viongozi wa Simba walijua muda tu basi ni ule ubwatukaji wake wenye lengo la kujipatia kula ndio wanaona waache.

Duniani yeye ndo msemaji pekee mwenye kuongelea club zingine na kuacha ya kwake, Ni yeye pekeee ndio anakubali tetesi za kuisifia Team yake tu na si negativity yake, Ni yeye pekeee ndio anajiona msemaji wa team na wengine sio wasemaji.

Mkimchekea Mbwa ipo siku atakufata mpaka mskitini.
 
Hivi ilikuwa ni redio gani ile na mtangazaji gani yule aliyezusha ule uongo kuwa Kichuya kazuiliwa CAF kucheza Namungo kisa anadaiwa wakati anarudi Simba kutoka Misri?

Yule alokuwa anamtangaza Morrison pale taifa kuwa ni mchezaji wa Yanga alikuwa nani vile?
 
Sijaelewa kabisa Manara anapozuwa habari za kushambulia wenzake huwa anatarajia nini?

Mara huyu ana hirizi

Mara yule ana tumbo kubwa

Sijuwi wale wapo hivi

Kitu hakiendi sawa ndani ya kichwa cha Manara.
 
Jamaa boya sana anatabia za kike kike....sijaona kosa la Kitenge

Mpaka sasa sijasoma au kusikiliza popote huo uzushi.

Nilichoshuhudia ni bandiko la Manara kumnanga vikali Kitenge.

Sijajuwa bado hoja ya Manara. Labda nikipata taarifa rasmi za kile kinacholalamikiwa nijiridhishe.

Kwasasa namuona Manara mzushi na mchonganishi kati ya wanasimba na wasafi.

Lengo kumharibia kazi mwenzake.
 
Soma hapo ndo mzozo ulipoanzia
 
Soma hapo ndo mzozo ulipoanzia

Many thanks Mkuu

Kama taarifa ndio hii

Kichwa cha Manara kina tatizo

Habari za mtazamo/mwelekeo/mfanano huu zipo duniani kote katika michezo

Ukifuatilia Habari za Mesi, huko Spain kwasasa .....

Kabari za akina Neymar, sualesi nk

Ukipita mitandaoni Tetesi za soka ulaya nk

Manara anatatizo kubwa kichwani
 
Nafikiri kwa Sasa Kuna haja aelezwe ukweli na si kuhofia kumnyanyapaa kisa ngozi yake. Anagombana na waandishi wengi na yeyote atakaye isema Simba ilimradi kwa kulinda ugali wake. Mbaya Zaidi anaingilia mpaka kwenye personal life na kumuharibia mtu image yake ndani ya jamii. Ukirudi kwa upande wake yeye ni namba moja kuongea atakalo kwa wenzie.

Waandishi wa habari wasipokua makini watashikwa mpaka kalio na huyo jamaa ili tu alinde ugali wake.

Sijawahi ona dunia nzima club inakutana na tetesi au habari ya uzushi Kisha wakaanza kumuattack mwandishi, Tena waandishi wa kule na wafanyakazi wa sekta za Michezo Wala hawafichagi ushabiki wao ktk team lakini hutoona akiattackiwa kwa ajili ya habari anayotoa.
Ethics za uandishi wa habari hana huyu Manara na hata viongozi wa Simba walijua muda tu basi ni ule ubwatukaji wake wenye lengo la kujipatia kula ndio wanaona waache.

Duniani yeye ndo msemaji pekee mwenye kuongelea club zingine na kuacha ya kwake, Ni yeye pekeee ndio anakubali tetesi za kuisifia Team yake tu na si negativity yake, Ni yeye pekeee ndio anajiona msemaji wa team na wengine sio wasemaji.

Mkimchekea Mbwa ipo siku atakufata mpaka mskitini.
Unaweza uweza ukaa ujui au una akili kabsa, Tofautisha tetesi na habari. Siwezi kusema Fasiliteta amekunya adhalani afu nikasema ilikua tetesi. Ulishawahi ona tetesi inasema Morrison hajasafiri kisa kagombana na Kocha wake? Afu unakuja kusema ni tetesi.
Manara kawashida akili wengi sana. Manara amemuattack kwa habari zake kitenge anazozushaga. Yeye na Mkule walishawahi zusha Kagere kapigana na Sven.
Maulidi kitenge angekua ana uhakika wa habari aliyoisema angeithibitishia umma ili sasa umma umtetee. Yeye kaenda kumu attack Manara kua anajikomba, hana pesa kazi yake ni kufitinisha ili apate ugali. Hapo ndipo nilipomuona kua Kitenge hiyo habari amezusha. Maana angekua na uhakika na hiyo habari angethibitisha ili Manara aumbuke na jamii iendelee kumuamini.
Manara anajua Simba na Yanga ni watani ndo maana anatania brand ya yanga. Mbona nyie Yanga mmeitania sana brand ya Simba kua ni wamatopeni, Simba ni mikia. Huo ni utani wa Simba na Yanga.
Kitenge kama ana uhakika na hiyo habari athibitishe maana hiyo sio tetesi
 
Mpaka sasa sijasoma au kusikiliza popote huo uzushi.

Nilichoshuhudia ni bandiko la Manara kumnanga vikali Kitenge.

Sijajuwa bado hoja ya Manara. Labda nikipata taarifa rasmi za kile kinacholalamikiwa nijiridhishe.

Kwasasa namuona Manara mzushi na mchonganishi kati ya wanasimba na wasafi.

Lengo kumharibia kazi mwenzake.
Sasa wewe hujaona afu unasema Manara mzushi. Ungesubiri uipate hiyo habari then ndo useme Manara mzushi. Unatoa vipi maoni kwa kitu ambacho hujakiona
 
Sasa wewe hujaona afu unasema Manara mzushi. Ungesubiri uipate hiyo habari then ndo useme Manara mzushi. Unatoa vipi maoni kwa kitu ambacho hujakiona

Wenye hekima wamenipa habari

Ujinga mtupu au unanyingine tofauti na hii👇

Mtu unaanza kumuona tu nia yake, we umemu attack manara bila kujua chanzo sikutegemea kua utaisoma vizr hiyo hbari na kisa kusoma hoja ya kwanza ya manara. All the best mkuu

Sababu zipo nyingi sana sheikh

Ukiona hivo ujuwe anayeongelewa ana historical profile mbovu kwa wengine
 
Ko hizo ni tetesi za usajili?
Nani anasajiliwa hapo? Ila wabongo.......aseee

Fungua akili yako usajiri na kuondoka ...........kwenye michezo tofauti ni ndogo sana

99% kuondoka kunaendana na tetesi kutafuta usajiri kwingineko.
 
Back
Top Bottom