Manara tukiwapiga Simba chini ya Goli nne nakuja hapa SportsArena kuwapa kila mtangazaji milioni moja

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
“Wachezaji kila ukiwauliza wanasema wao wanawaza Agosti 8 tu, nawaambia kabisa ‘Makolo’ wasilite timu uwanjani, yani wale tukiwapiga chini ya nne nakuja hapa SportsArena kuwapa kila mtangazaji milioni moja moja.” —— Msemaji wa Yanga Sc, Haji Manara
Snapinsta.app_452743515_485928077475841_5718408590801950261_n_1080.jpg
 
“Wachezaji kila ukiwauliza wanasema wao wanawaza Agosti 8 tu, nawaambia kabisa ‘Makolo’ wasilite timu uwanjani, yani wale tukiwapiga chini ya nne nakuja hapa SportsArena kuwapa kila mtangazaji milioni moja moja.” —— Msemaji wa Yanga Sc, Haji Manara
View attachment 3056731
Mtu umeshafukuzwa ila bado unafanya kazi kwa lazima..ndo nini sasa!
 
Ngoja nivune tumaharagwe twangu niuze nipate nauli niende Dar lazima hii mechi nikaishuhudie maana wanakijiji waneomba nipige picha nikiwa uwanja wa taifa waamini Kama kweli Mimi ni wa Dar es salaam
 
“Wachezaji kila ukiwauliza wanasema wao wanawaza Agosti 8 tu, nawaambia kabisa ‘Makolo’ wasilite timu uwanjani, yani wale tukiwapiga chini ya nne nakuja hapa SportsArena kuwapa kila mtangazaji milioni moja moja.” —— Msemaji wa Yanga Sc, Haji Manara
View attachment 3056731
Kama kuna kitu kimeindika na mvuto wake ni style aliyoitumia kurudi na purukushani alizosababisha baada ya kurudi.
Mouuzi kabisa huyu. Yanga Day akishika kipaza sauti kutaka kufanya amsha amsha huenda watu wakamgomea kumuitikia
 
Back
Top Bottom