Manara umeaibisha sana cheo chako leo.

Manara umeaibisha sana cheo chako leo.

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,657
Reaction score
20,967
ulikuwa unahojiwa muda si mrefu na sports extra. cha ajabu afisa habari mzima wa timu unajisifu, nukuu isiyo rasmi "mimi sipendi kutumia mitandao ya kijamii, situmii twitter, situmii instragram wala FB, " kama siyo afisa habari hewa tukuitaje?
 
Sasa anatumia nn kuwafikia mashabiki wa mnyama? Au mpaka apigiwe simu ahojiwe na watangazaji?
inaonekana hata kuongea na watangazaji hapendi. leo kasema kaongea na sports extra kwa sababu anawaheshimu ila HAPENDI!
 
inaonekana hata kuongea na watangazaji hapendi. leo kasema kaongea na sports extra kwa sababu anawaheshimu ila HAPENDI!
Hakupenda kuongea kuhusu hiyo issue ya huyo boya wa chura fc aliyoisema

Unadhani kwenu tu ndo kuna radio sio???

Kwa taarifa yako betri tulianika...zilikuwa na moto na kipindi tumesikiliza.
 
vipi kutotumia mitandao ya kijamii?
Kwani lazima kuwa na account kwenye social media?? Hivi kabla ya hayo ma Facebook watu walikuwa wanapataje habar??
Mm naamini njia zur yakutoa habari ni kuwaita waandishi wa habari

Eti haji manara anaiabisha taaluma yake kwa kutokuwa na account Instagram, fb na twitter

Aliyeturoga wa tz mungu anamuona
 
ulikuwa unahojiwa muda si mrefu na sports extra. cha ajabu afisa habari mzima wa timu unajisifu, nukuu isiyo rasmi "mimi sipendi kutumia mitandao ya kijamii, situmii twitter, situmii instragram wala FB, " kama siyo afisa habari hewa tukuitaje?
Acheni kukariri vitu.
 
Kwani lazima kuwa na account kwenye social media?? Hivi kabla ya hayo ma Facebook watu walikuwa wanapataje habar??
Mm naamini njia zur yakutoa habari ni kuwaita waandishi wa habari

Eti haji manara anaiabisha taaluma yake kwa kutokuwa na account Instagram, fb na twitter

Aliyeturoga wa tz mungu anamuona
Njia ya internet unawafikia watu na kwa haraka zaidi kuliko hizo njia unayoitaja were?
 
Acha ushamba yeye bifsi hapendi kutumia mitandao ya kijamii ila klabu ina verified accounts ,mkurupuko kama kifaru anazima moto
afisa habari gani asiyependa mitandao ya kijamii. watu serious unakuwa umesha disqualify.
 
Sasa iwapo Simba SC ina Official Account Yake [HASHTAG]#Twitter[/HASHTAG] →→ Simba SC Tanzania (@SimbaSCTanzania) on Twitter Kuna ulazima gani Afisa Habari Kutoa Habari Kupitia Account Yake Binafsi???

Je Kuna Uhusiano gani wa Kilazima Kati ya Taaluma Ya Habari na Mitandao Ya Kijamii??

Hebu Taja Miaka iliyoanzishwa Hiyo Mitandao Ya Kijamii Na Uniambie Yupo Mwandishi/Afisa Habari Alitekuwa na Account Ya FB, Twitter, Insta na Watsapp Chini ya Mwaka 1995, Je Kipindi Hicho unataka Kunambia Kwasababu Waandishi Hawakutumia Mitandao Je Wote ni Hewa????

Usiwe Boya Kiasi Hicho... Hata Walioishia Darasa La Saba Macelebrities Katika Mitandao Ya Kijamii Wana Followers Zaidi ya 100K kuzidi Tido Mhando na Salim Kikeke pamoja na Wahadhiri wa Vyuo Vikuu!!!!

Sasa Kama Kutumia Mitandao Ya Kijamii ndiyo Ubora Wa Uwandishi!!! [HASHTAG]#MillardAyo[/HASHTAG] Yupo Juu Sana Kwenye Mitandao Ya Kijamii Kuliko [HASHTAG]#CharlesHillary[/HASHTAG]....! Je Yupi hapo Mwandishi bora????
 
73501.jpg
nimeelewa avatar tu
 
Back
Top Bottom