Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakupenda kuongea kuhusu hiyo issue ya huyo boya wa chura fc aliyoisemainaonekana hata kuongea na watangazaji hapendi. leo kasema kaongea na sports extra kwa sababu anawaheshimu ila HAPENDI!
Ume quote vby kasema alikuwa hataki kumjibu mkemi sabb hana cheo yanga lkn kwa heshima ya clouds kaamua kujibuinaonekana hata kuongea na watangazaji hapendi. leo kasema kaongea na sports extra kwa sababu anawaheshimu ila HAPENDI!
Kwani lazima kuwa na account kwenye social media?? Hivi kabla ya hayo ma Facebook watu walikuwa wanapataje habar??vipi kutotumia mitandao ya kijamii?
Acheni kukariri vitu.ulikuwa unahojiwa muda si mrefu na sports extra. cha ajabu afisa habari mzima wa timu unajisifu, nukuu isiyo rasmi "mimi sipendi kutumia mitandao ya kijamii, situmii twitter, situmii instragram wala FB, " kama siyo afisa habari hewa tukuitaje?
Njia ya internet unawafikia watu na kwa haraka zaidi kuliko hizo njia unayoitaja were?Kwani lazima kuwa na account kwenye social media?? Hivi kabla ya hayo ma Facebook watu walikuwa wanapataje habar??
Mm naamini njia zur yakutoa habari ni kuwaita waandishi wa habari
Eti haji manara anaiabisha taaluma yake kwa kutokuwa na account Instagram, fb na twitter
Aliyeturoga wa tz mungu anamuona
Kwa hali hii naanza kuamini 4:1 ni ya kweliNjia ya internet unawafikia watu na kwa haraka zaidi kuliko hizo njia unayoitaja were?
Simba ndio club yenye most active social network accounts hilo halina ubishivipi kutotumia mitandao ya kijamii?
Hizo ni fikra finyu, siolazima kila mwanahabari kuwa kwenye sosho midia.afisa habari gani asiyependa mitandao ya kijamii. watu serious unakuwa umesha disqualify.