Manara kaomba msamaha sio Kwa sababu y mashabiki, lahasha ni Kwa sababu manara sio proffesional 'public relations officer' , Kwa most the time anafanya vitu unprofessional from the beginning kitu ambacho badaye kinamfanya aombe msamaha.....lkn public relations officer by professional kweny hich kilichotokea Kwa simba ndio ilikuwa sehem ya kuchukulia points, kitaalamu tunaita 'crisis management' . Kila taasisi inapitia crisis management, Kwa hiyo ni wajibu wa PR wa taasisi kudeal Na kudealiver vizuri wakati wa crisis . Lakin manara ni mwandishi wa habari Yule..... mambo ya kujuana ndio yamemfanya awe anahudum sehem ambayo Hana taaluma nayo..........!!!!!! Utamsikia brand brand.................. .......!!!