MANARA UMEKOSEA SANA...!!

MANARA UMEKOSEA SANA...!!

rikiboy

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
21,952
Reaction score
43,265
Hakuna kitu kimenikeraa Kama haji manara kuanza kuomba msamaha Mara tatu tatu kwenye mitandao ya kijamii kisa Simba kufungwa Goli mojaa!?? Ni Ujingaa na upuuzi kuwa Mtumwa wa Hisia za mashabiki maandazii... Hakuna timu isiyofungwa sasa mashabiki wa simba mnataka mshindee mila Mechi au??? Alafu mashabiki wajinga wakaanza kumtupia mpaka Makopoo...MANARA USIWE MTUMWA WA HISIA ZA MASHABIKI WAJINGA
IMG_20180921_110343_882.jpg
 
Timu zote duniani zinapoteza mechi,na ni sehemu ya mchezo.Hakuna haja ya kuomba misamaha
 
Aibu ya karne, wao wanafikiri ndo wana dhamana ya ushindi wa kila mechi.......pambafuuuuuuuuu...........
 
Hakuna kitu kimenikeraa Kama haji manara kuanza kuomba msamaha Mara tatu tatu kwenye mitandao ya kijamii kisa Simba kufungwa Goli mojaa!?? Ni Ujingaa na upuuzi kuwa Mtumwa wa Hisia za mashabiki maandazii... Hakuna timu isiyofungwa sasa mashabiki wa simba mnataka mshindee mila Mechi au??? Alafu mashabiki wajinga wakaanza kumtupia mpaka Makopoo...MANARA USIWE MTUMWA WA HISIA ZA MASHABIKI WAJINGAView attachment 873057
Hajitambui huyu Haji......
 
Wameomba Msamaha kutokana na ukweli kuwa wao ndo walitengeneza tatizo kwa kuwaaminisha Mashabiki wao kuwa kutokana na Usajili waliofanya Msimu huu hakuna timu ya kuwafunga, sasa kwa Matokeo wanayopata kulinganisha na Timu wanazocheza nazo unatarajia Mashabiki watafanya nn?
 
Manara kaomba msamaha sio Kwa sababu y mashabiki, lahasha ni Kwa sababu manara sio proffesional 'public relations officer' , Kwa most the time anafanya vitu unprofessional from the beginning kitu ambacho badaye kinamfanya aombe msamaha.....lkn public relations officer by professional kweny hich kilichotokea Kwa simba ndio ilikuwa sehem ya kuchukulia points, kitaalamu tunaita 'crisis management' . Kila taasisi inapitia crisis management, Kwa hiyo ni wajibu wa PR wa taasisi kudeal Na kudealiver vizuri wakati wa crisis . Lakin manara ni mwandishi wa habari Yule..... mambo ya kujuana ndio yamemfanya awe anahudum sehem ambayo Hana taaluma nayo..........!!!!!! Utamsikia brand brand.................. .......!!!
 
Mlienda Uturuki kuwaona waigizaji wa tamthilia ya Sultan
 
kweli nimeani Yanga ni team ya wananchi.......
 
Msamaha wa nini tena wakati mechi ina matokeo matatu, sare, kushinda na kufungwa ?
 
Halafu Manara anaomba msamaha kwani yeye ndio kocha.?
 
Uko sahihi

Kufungwa Ni sehemu ya Mpira Na asietaka kupata maumivu ya Timu yake kufungwa achague mchezo wa kitandani Sio wa Mpira
 
Back
Top Bottom