rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,952
- 43,265
Hakuna kitu kimenikeraa Kama haji manara kuanza kuomba msamaha Mara tatu tatu kwenye mitandao ya kijamii kisa Simba kufungwa Goli mojaa!?? Ni Ujingaa na upuuzi kuwa Mtumwa wa Hisia za mashabiki maandazii... Hakuna timu isiyofungwa sasa mashabiki wa simba mnataka mshindee mila Mechi au??? Alafu mashabiki wajinga wakaanza kumtupia mpaka Makopoo...MANARA USIWE MTUMWA WA HISIA ZA MASHABIKI WAJINGA