Manara: Yanga wakijaza uwanja naacha kazi Simba

Leo ilikuwa siku ya Tamasha la Yanga kwenye uwanja wa Taifa. Ni ukweli usipingika, uwanja ulifurika watu hasa wapenzi wa Yanga. Kama ilivyokuwa ahadi ya H. Manara sasa tunamwomba aachie ngazi kama alivyoahidi. Pili kwa dhati kabisa ninampongeza Mwenyekiti Dkt. M. Msola na Uongozi mzima na benchi la ufundi kwa mshikamano mlio nao. Tunaona kama mambo mazuri yanakuja mbele. Niwapongeze pia wachezaji wa Yanga kwa mchezo mzuri na maridadi waliyouonyesha dhidi ya Kariobangi na hii inatudhihirishia kuwa ubingwa unarudi nyumbani kama ilivyo kawaida ya Klabu ya Yanga. YANGA MBELE DAIMA, NYUMA MWIKO.
 
manara alitaka kuwasaidia uwanja ujae ili waachane na kutembeza bakuli
 
Hivi nilisikia anafunga ndoa Wema wa Seputu iliishia wapi?
 
Manara msema chochote...

Mwili wake upo Simba ila roho yake ipo Yanga...



Cc: mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…