Manara: Yanga wakijaza uwanja naacha kazi Simba

Manara: Yanga wakijaza uwanja naacha kazi Simba

Leo ilikuwa siku ya Tamasha la Yanga kwenye uwanja wa Taifa. Ni ukweli usipingika, uwanja ulifurika watu hasa wapenzi wa Yanga. Kama ilivyokuwa ahadi ya H. Manara sasa tunamwomba aachie ngazi kama alivyoahidi. Pili kwa dhati kabisa ninampongeza Mwenyekiti Dkt. M. Msola na Uongozi mzima na benchi la ufundi kwa mshikamano mlio nao. Tunaona kama mambo mazuri yanakuja mbele. Niwapongeze pia wachezaji wa Yanga kwa mchezo mzuri na maridadi waliyouonyesha dhidi ya Kariobangi na hii inatudhihirishia kuwa ubingwa unarudi nyumbani kama ilivyo kawaida ya Klabu ya Yanga. YANGA MBELE DAIMA, NYUMA MWIKO.
Acha uongo wewe. Uwanja haukujaa
 
Kumbe kiingilio kilikua buku or nimesikia vibaya
 
Mtu na akili zako unakaa kumsikiliza manara kweli

yule mropokaji yule au

yule wa barcelona wakifungwa anahamia yanga.
Hayo huwa ni maneno ya Kishabiki,ambayo dhamira yake ni kukera,kuudhi na kudhalilisha adui yako.Ni rafu za kishabiki,hata uwanjaa ukijaa hadi ukapasuka hawezi hama,wala kuacha kazi.Haya maneno hujibiwa kwa kejeli zaidi na si kutuuliza humu kama ameacha kazi.Mkumbukeni Jerry Muro enzi hizo.MANARA watie adabu Yanga na Njaa yao.
 
Jerry na manara wote wapumbavu tu
 
Binadamu bwana..mnatakiwa mumshukuru Manara..alichofanya ni kutumia mbinu ili mjae..na amefanikiwa! Unadhani Kama sio kelele zake mngejaa Leo?
Hata mimi nilitaka kusema hili, washukuru sana Vyura kwa kuhamasishwa kwa njia ya utani.
 
Kweli wewe kihiyo haswa.Massage sent????Kiswahili kinakushinda unavamia lugha za watu?Massage sent????
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom