Manara: Yanga wakijaza uwanja naacha kazi Simba

Manara: Yanga wakijaza uwanja naacha kazi Simba

Arudishe pafyumu za watu alizotapeli.... Atafia segerea huyu zeruzeru wenu
IMG-20190804-WA0032.jpeg
 
nulikuwa uwanjani, ni kweli kulikuwa na mapengo upande ule wa mashabiki wa simba.
 
Ivi kwanini kamati ya maandalizi ya match haituwekei idadi ya watu walio ingia kwa siku ya janana siku zingine ili tujiridhishe kwamba uwanja umejaa kweli sababu uwezo wa uwanja ni watu elf 60.

Je hiyo idadi ilifika kweli? Na katika match zote ambazo simba anajitapa kujaza uwanja pamoja na kwamba hadi walishusha kiingilio kikawa buku 2.Je,hiyo idadi ya watu elf 60 ilifikiwa?

Mbona watanzania bado tuko nyuma mambo ya kuoneshwa vipande vipande vya uwanja na camera za tv eti uwanja umejaa ni kutufanya watoto bali saizi mfumo inatakiwa ubadilike tuwekewe number of attendates tujiridhishe mbona uraya wanafanya ivo sisi tunafail wapi kwani mfumo wa ticket za kielectronic haujaanza kutumika?
 
Huyu tapeli nae arudishe perfume alizotapeli.
Business strategy na marketing mbovu ndo zinaleta ugumu wa biashara za perfume zao,wajifunze kwa mwana FA hakuwa mjinga kufuata soko la watu wa chini....Mond kwa jina lake angetoa body spray ya buku 4 tu aisee angetisha sana sasa
 
Katika watu wanaoitendea haki ile kauli ya Rage huyu ndio namba moja.

Sijui lini ataachana na Umbumbumbu. Haya aache hiyo kazi sasa kama ubavu huo anao.
 
mlisubiria hadi uwanja ujae ndo muanze kuchangia uzi hahaaaa ndala buana hamjiamini
 
Business strategy na marketing mbovu ndo zinaleta ugumu wa biashara za perfume zao,wajifunze kwa mwana FA hakuwa mjinga kufuata soko la watu wa chini....Mond kwa jina lake angetoa body spray ya buku 4 tu aisee angetisha sana sasa
Tatizo shule kaka,na hawataki kuajiri wasomi ili wawasaidie. Wanaona umaarufu ndo kila kitu. Mwana FA shule ipo. Ana Msc ya finance au marketing kama sikosei. Kwanza Haji hakutakiwa kufanya lisherehe likubwaaaa.Tatizo showoff pia.
 
Katika watu wanaoitendea haki ile kauli ya Rage huyu ndio namba moja.

Sijui lini ataachana na Umbumbumbu. Haya aache hiyo kazi sasa kama ubavu huo anao.
Hahaha leteni statistics za watu kwanza

Na mapato pia.

Balinya sibomana; wataweza kupenya kweli mbele ya kina shiboub, na fraga.

Kama Jana walikuwa wana luka luka.

Sema lazima nikuchukulie kazawadi kauzi
 
Back
Top Bottom