Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heeee jaman haya ya kudhalilishana tungeyaacha kwanzaArudishe pafyumu za watu alizotapeli.... Atafia segerea huyu zeruzeru wenuView attachment 1172490
Business strategy na marketing mbovu ndo zinaleta ugumu wa biashara za perfume zao,wajifunze kwa mwana FA hakuwa mjinga kufuata soko la watu wa chini....Mond kwa jina lake angetoa body spray ya buku 4 tu aisee angetisha sana sasaHuyu tapeli nae arudishe perfume alizotapeli.
Magepu uwanjani yalikuwa kibaoNa bado tickets hazijawa sold out.....leo uwanja ulikua kama shamba la alizeti
Itakuwa macho yako hayaoni vizuri aisee uwanja umejaa hadi watu wamekaa kwenye ngazi za kupandia wewe unasema haujajaaa?Badooo....Uwanja umeshindikana kujazwaaaa
Hii picha umepiga kabla ya mechi kusema ule ukweli mechi wakati inaanza uwanja wote ulikuwa umejaaYaani mapengo yote haya bado unadai uwanja ulijaa? View attachment 1172286
😅😅😅Umeingia choo cha kike
Hahahaaaaa. Na jana tulijua kuwashughulisha hasaaa yaani wote walikuwa busy kufuatilia kilele cha siku ya Wananchi.Huna gubu kama motto wa kike
Hahahaaaa. Yaani wanataka wawe wanaujaza wao tu. Pole yao. 💃💃💃Simba bwana,,kwahiyo hata uwanja kujaa leo imewauma
Janja janja sana.Arudishe pafyumu za watu alizotapeli.... Atafia segerea huyu zeruzeru wenuView attachment 1172490
😅😅😅 Mtaniiii. Hivyo jana mlikuwa busy kuangalia magepu. LolMagepu uwanjani yalikuwa kibao
Tatizo shule kaka,na hawataki kuajiri wasomi ili wawasaidie. Wanaona umaarufu ndo kila kitu. Mwana FA shule ipo. Ana Msc ya finance au marketing kama sikosei. Kwanza Haji hakutakiwa kufanya lisherehe likubwaaaa.Tatizo showoff pia.Business strategy na marketing mbovu ndo zinaleta ugumu wa biashara za perfume zao,wajifunze kwa mwana FA hakuwa mjinga kufuata soko la watu wa chini....Mond kwa jina lake angetoa body spray ya buku 4 tu aisee angetisha sana sasa
Hahaha leteni statistics za watu kwanzaKatika watu wanaoitendea haki ile kauli ya Rage huyu ndio namba moja.
Sijui lini ataachana na Umbumbumbu. Haya aache hiyo kazi sasa kama ubavu huo anao.
Hahahaha vyovyote mtani ili kuja kukabiliana na propaganda zenu😅😅😅 Mtaniiii. Hivyo jana mlikuwa busy kuangalia magepu. Lol