Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waaambie mkuuMuuzaji wa jezi kwa jumla ni sandaland yeye ndio uwa ananunua mzigo wote wa jezi wa hivi vilabu vyote na kuuza kwa wauzaji wadogo,huyu jamaa ni kolo kindaki ndaki na yeye ndie mwenye takwimu zote za mauzo ya jezi
Kuna kitu kinaitwa PAYBACK PERIOD......tafuta tuition ujifunzeUchumi huo huo unatuambia Demand ya kitu ikiongezeka bei pia itapanda kwa maana supply itashuka kuliko uhitaji.Unataka kusema Yanga na Gsm hawataki faida mpaka washushe hii bei wakati watu wana uhitaji nayo mkubwa?
Kwahiyo tunakubaliana Manara ni professional na hawezi kuongea kitu hakipo sahihi au sio?Yule ni proffesinal....so hawezi kuongea kitu hakipo sahihi
Akikujibu nishtue nna soda yakoKwahiyo tunakubaliana Manara ni professional na hawezi kuongea kitu hakipo sahihi au sio?
Ok, tuanze na hizi kauli ambazo zingine kazitoa ni mwaka Jana tu mwezi wa 6 na zingine katoa siku za nyuma
1. Simba ndio team yenye mashabiki wengi
2. Simba imeuza jezi kuliko team zote VPL
3.mashabiki wa Yanga ni mazuzu
4.simba inaongoza Kwa kushinda makombe
5.Mungu ana mambo mengi ya muhimu na hana muda wa kujibu Dua za Utopolo eti washinde ubingwa ila mwaka huu yeye ndio alikuwa mstari wa mbele kuitikia Dua hizo
6.Yanga inaongozwa na Wahuni tu
7. Ukiondoa Mzee Sunday Manara na kikwete mashabiki wengine wote wa Yanga Akili ni fyatu
Yapo mengi ila tuishie hapo kwanza, Sasa kutokana na kauli yako kuwa Manara ni professional na hawezi kuongea kitu hakipo sahihi....! Kwahiyo unakubari kwamba ata hizo kauli alizotoa hapo nyuma kabla ya kuja Yanga zilikuwa sahihi au sio? Au uprofessional kaupata baada ya kuja Yanga
Ni kwamba msimu unaelekea mwisho zisije kubaki wakati msimu mpya zitatoka zingineSio mda watazigawa bure wateja hamnaView attachment 2127647
Kwa akili yangu ndogo natambua GSM na Yanga si familia ila ni entity 2 tofauti, moja ikitumia udhaifu wa mwenzie kujinufaisha.Kwa akili yako ndogo ...umeshindwa kutambua Kama GSM na YANGA ni familia
Tutazipeleka nje...Kuna soko zurSio mda watazigawa bure wateja hamnaView attachment 2127647
Alivyokuja yanga....aliingia class.Kwahiyo tunakubaliana Manara ni professional na hawezi kuongea kitu hakipo sahihi au sio?