Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wameuza Jezi NgapiWananch hatuongei sana
Alikuwa bado binadamuNyie mliishi nae vip....hadi aliwabebea vikombe vya ligu
Da nilikua najua Una akili kichwani mkuu kumbe zimeshikiliwa na huo mwiko huko nyuma[emoji1646][emoji1646]Morrison ni mdudu gani mkuu..... Tanzania and Julikana ni MAYELE tu
Mtoa POSt unaonaje huu muda ULIOTUMIA kupost huu ujinga wako ungekua unasoma namna ya kutfta pesa kWA kutumia fursa zilizopo mtaan kwako badilika Acha ujinga soma usiwe mtu wa akili za 0.0 yaani zero Brain[emoji23][emoji23][emoji23]Da nilikua najua Una akili kichwani mkuu kumbe zimeshikiliwa na huo mwiko huko nyuma[emoji1646][emoji1646]
Mkuu ..bila shaka .hujasoma..uchumi.....Kuna kitu kinaitwa PAYBACK PERIOD it means unarudisha gharama za investments ......then unakua kwenye safe zone ya faida .....so hata ukishusha ....Bei haita kuathiri......[emoji16]alieongoza mauzo anashusha bei amalize stock [emoji16]Nchi ngumu sana hii
Uchumi huo huo unatuambia Demand ya kitu ikiongezeka bei pia itapanda kwa maana supply itashuka kuliko uhitaji.Unataka kusema Yanga na Gsm hawataki faida mpaka washushe hii bei wakati watu wana uhitaji nayo mkubwa?Mkuu ..bila shaka .hujasoma..uchumi.....Kuna kitu kinaitwa PAYBACK PERIOD it means unarudisha gharama za investments ......then unakua kwenye safe zone ya faida .....so hata ukishusha ....Bei haita kuathiri......
Pitia vitabu vya uchumi uelimike
Ukishakuwa Klabu ile hata uwe na akili zinaondoka..Pale alipo wala hajui Klabu zote zilitengenezwa jezi ngazi na kuuzwa ngapi?Tutawezaje kuthibitisha kauli iliyotolewa na mtu club hiyo? Amejuaje mauzo ya club nyingine ikiwa ametoka huku kabla hata msimu haujaanza??
Mwambieni alete facts, porojo zake zimeshazoeleka.
Kuna matambara ya Alizeti huwa yanatupwa kila mechi za Uto baada ya kudoda.Mijezi ya Makolo ni ngumu kununulika,iko kama ya waganga wa kienyeji
Hizo takwimu kazitoa nani?
Nani anayeweza kujua kila klabu imeuza jezi ngapi?