Manara: Yanga yauza jezi mara tano zaidi ya klabu nyingine

Manara: Yanga yauza jezi mara tano zaidi ya klabu nyingine

Da nilikua najua Una akili kichwani mkuu kumbe zimeshikiliwa na huo mwiko huko nyuma[emoji1646][emoji1646]
Mtoa POSt unaonaje huu muda ULIOTUMIA kupost huu ujinga wako ungekua unasoma namna ya kutfta pesa kWA kutumia fursa zilizopo mtaan kwako badilika Acha ujinga soma usiwe mtu wa akili za 0.0 yaani zero Brain[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji16]alieongoza mauzo anashusha bei amalize stock [emoji16]Nchi ngumu sana hii
Mkuu ..bila shaka .hujasoma..uchumi.....Kuna kitu kinaitwa PAYBACK PERIOD it means unarudisha gharama za investments ......then unakua kwenye safe zone ya faida .....so hata ukishusha ....Bei haita kuathiri......

Pitia vitabu vya uchumi uelimike
 
Mkuu ..bila shaka .hujasoma..uchumi.....Kuna kitu kinaitwa PAYBACK PERIOD it means unarudisha gharama za investments ......then unakua kwenye safe zone ya faida .....so hata ukishusha ....Bei haita kuathiri......

Pitia vitabu vya uchumi uelimike
Uchumi huo huo unatuambia Demand ya kitu ikiongezeka bei pia itapanda kwa maana supply itashuka kuliko uhitaji.Unataka kusema Yanga na Gsm hawataki faida mpaka washushe hii bei wakati watu wana uhitaji nayo mkubwa?
 
Tutawezaje kuthibitisha kauli iliyotolewa na mtu club hiyo? Amejuaje mauzo ya club nyingine ikiwa ametoka huku kabla hata msimu haujaanza??

Mwambieni alete facts, porojo zake zimeshazoeleka.
Ukishakuwa Klabu ile hata uwe na akili zinaondoka..Pale alipo wala hajui Klabu zote zilitengenezwa jezi ngazi na kuuzwa ngapi?
 
Muuzaji wa jezi kwa jumla ni sandaland yeye ndio uwa ananunua mzigo wote wa jezi wa hivi vilabu vyote na kuuza kwa wauzaji wadogo,huyu jamaa ni kolo kindaki ndaki na yeye ndie mwenye takwimu zote za mauzo ya jezi
Hizo takwimu kazitoa nani?
Nani anayeweza kujua kila klabu imeuza jezi ngapi?
 
Na hayo ni maendeleo,Yanga oyeeeeh,Hayo ndiyo Malengo ya timu kubwa Yanga,kuuza jezi kwa wingi.
 
Back
Top Bottom