Manara: Yanga yauza jezi mara tano zaidi ya klabu nyingine

Yaani Yanga ijitathmini yenyewe against other clubs watoke waseme wao ndiyo nynyenye
 
Kuna matambara ya Alizeti huwa yanatupwa kila mechi za Uto baada ya kudoda.

Nani anunue jezi za Inzi wa Kijani
Tuna nunua kila siku mkuu......coz wananchi ndio timu ya watu tajir sana
 
Uchumi huo huo unatuambia Demand ya kitu ikiongezeka bei pia itapanda kwa maana supply itashuka kuliko uhitaji.Unataka kusema Yanga na Gsm hawataki faida mpaka washushe hii bei wakati watu wana uhitaji nayo mkubwa?
Kuna kitu kinaitwa PAYBACK PERIOD......tafuta tuition ujifunze
 
Yule ni proffesinal....so hawezi kuongea kitu hakipo sahihi
Kwahiyo tunakubaliana Manara ni professional na hawezi kuongea kitu hakipo sahihi au sio?

Ok, tuanze na hizi kauli ambazo zingine kazitoa ni mwaka Jana tu mwezi wa 6 na zingine katoa siku za nyuma

1. Simba ndio team yenye mashabiki wengi
2. Simba imeuza jezi kuliko team zote VPL
3.mashabiki wa Yanga ni mazuzu
4.simba inaongoza Kwa kushinda makombe
5.Mungu ana mambo mengi ya muhimu na hana muda wa kujibu Dua za Utopolo eti washinde ubingwa ila mwaka huu yeye ndio alikuwa mstari wa mbele kuitikia Dua hizo
6.Yanga inaongozwa na Wahuni tu
7. Ukiondoa Mzee Sunday Manara na kikwete mashabiki wengine wote wa Yanga Akili ni fyatu

Yapo mengi ila tuishie hapo kwanza, Sasa kutokana na kauli yako kuwa Manara ni professional na hawezi kuongea kitu hakipo sahihi....! Kwahiyo unakubari kwamba ata hizo kauli alizotoa hapo nyuma kabla ya kuja Yanga zilikuwa sahihi au sio? Au uprofessional kaupata baada ya kuja Yanga
 
Akikujibu nishtue nna soda yako
 
Alivyokuja yanga....aliingia class.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…