[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]kwaiyo mto post umefikilia vzur ukakubaliana na ukooo wako upost uu ujinga[emoji1]Mtoa POSt unaonaje huu muda ULIOTUMIA kupost huu ujinga wako ungekua unasoma namna ya kutfta pesa kWA kutumia fursa zilizopo mtaan kwako badilika Acha ujinga soma usiwe mtu wa akili za 0.0 yaani zero BrainAu kwa hasira mfanye awe mke wa pili[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mjinga mmoja huyoWananchiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Wameonyesha tena kuwa wao ndio wenye fan base kubwa kuliko timu yoyote hapa Bongo land kwa kuongoza kuuza jezi kuliko timu yoyote hapa Bongo.
Kumbuka msimu uliopita pamoja na wananchi kumaliza vibaya bila ubingwa ila ni timu iliyoingiza mashabiki wengi uwanjani kuliko timu nyingine so kwa vigezo hivi vianaifanya Yanga kuwa ni timu yenye watu wengi, wanajua nini maana ya soka....kwa kushabikia....
Je nini maana ya kuuza jezi mara tano zaidi ......? Mfano ni maana yake ni kwenye list hii:
Klabu tano zilizouza jezi zaidi
1. YANGA
2. YANGA
3.YANGA
4.YANGA
5. YANGA
6: Hapa ndipo zinaanzia timu nyingine mfano Coastal, Mbeya City, Mtibwa, Kagera na wengine
Source: Yanga news Manara
View attachment 2126200
Umeshikwa ndipoMtoa POSt unaonaje huu muda ULIOTUMIA kupost huu ujinga wako ungekua unasoma namna ya kutfta pesa kWA kutumia fursa zilizopo mtaan kwako badilika Acha ujinga soma usiwe mtu wa akili za 0.0 yaani zero Brain[emoji3578]
😊Ndo nimemaliza remidio hapa ya uliyosema.Bado bila data sioni uhusiano wake na maneno ya HajiKuna kitu kinaitwa PAYBACK PERIOD......tafuta tuition ujifunze
Kwenye kuuza jezi ndio anahusika?Kwenye udhamini wa GSM.....yanga hausiki mkuu....
Makasiriko haya [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Utopolo ndy klabu inayoongoza kwa mashabiki wake kuvaa jezi kama nguo za kutokea mitaani.
Lazima wanunuwe kwa wingi.
Simba huvaa jezi kwenye mechi Tu na sio kuvaa kwenda nazo kazini.
Sent from my M2101K7BG using JamiiForums mobile app
[emoji3][emoji3]Makasiriko haya [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]