Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,030
- 20,391
Wana Bodi bila shaka mumeweza kulifahamu hili kuwa Haji Manara yupo kibiashara na wazito wa Yanga wanalifahamu hili.
Rejea hapa:"Mithali 28:11 [11]Mtu tajiri ana hekima machoni pake mwenyewe; Bali maskini mwenye ufahamu humchunguza sana."
Sasa acha Sisi masikini tumuchunguze sana. Bila kupoteza wakati Manara ni Balozi wa GSM Ambaye ndiye mzamini mkuu wa YANGA, hivyo hivyo Manara ni Balozi wa Azam Ambaye Azam ameingia mkataba na YANGA kwenye eneo la Maudhui.
Sasa je, manara ataweza vipi kuwatumikia hao pasipo kuingia YANGA, hivyo manara ameingia YANGA kwa ushawishi wa hao na kama ulifuatilia Press yake utayasikia maneno hayo. Hivyo Manara YANGA yupo kinafiki kwa ajiri ya kutekeleza Kazi take.
Hongera Manara kwa kupata pakuvuna mikwanja.
NB: Hawa watu hua wanatabia ya kurudi mfano mzuri ni Mwanasiasa fulani.
Mimi ni Balozi wako wa mtaa @KASOMI.