Manara: Zidane akasirishwa na kitendo cha Pablo kufukuzwa Simba

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Manara: Ninazo taarifa za uhakika kabisa zinadai kuwa zinadine Zidane asikitishwa na kitendo cha Simba kumpa barua ya mchongo kocha Pablo kilichofanywa na uongozi wa makolo hususani kumpa barua isiyoonyesha tarakimu za malipo yake

Akiongea na kituo cha television huko Burma, Zidane ambaye aliwahifanya kazi na Pablo pale real Madrid, amesema kocha huyo no mzuri mno angeweza kuwafikisha mbali kisoka

Source: manara
 
Manara huyu aliyetuita sisi Yanga kwamba ni hamnazo ? Kwamba huku Yanga wenye akili ni baba yake yaani Sunday Manara na Kikwete tu? Au kuna Manara mwingine?

Kama ni kweli ndo kasema hivyo halafu sisi tunamshabikia basi ni kweli sisi ni hamnazo kweli.
 
Kuleta mjadala kuhusu kauli za Manara ni kuivunjia heshima JF na kuifanya JF kijiwe cha wajinga
Manara ni mdau mkubwa wa mpira bongo. ...nadhan mmeona Simba inavyobomoka now......bira uwepo wake
 
Lkn leo kawasema MAKOLO
 
Manara huyu aliyetuita sisi Yanga nihamnazo ndo tujadili mambo yake kweli mkuu? Mbona tutaonekana ni hamnazo kweli kama alivyotuita?
Nadhani MAKOLO mnapelekewa [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] na manara
 
Mkuu bora uwaambie hao watu. Na kama mpiga vichwa ni shabiki wa Yanga basi tunakuongeza kwenye list ya wenye akili Yanga hivyo wenzako ni Sunday na Kikwete kama alivyosema Manara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…