Kabisa mkuu......Prof. nabi ni [emoji91][emoji91][emoji91]Sijui kwanini Mikia aka Kolo FC hawaoni shida ilipo, kijana mdogo Feisal aka Zanzibar finest alitoka na mpira toka mstari wa katikati ya uwanja na akawaambia kwa vitendo Mikia kuwa anakwenda kuwapasua cha kushangaza timu nzima Kolo fc eti ikawa na bumbuwazi!!
Watafukuzana Simba mmoja baada ya mwingine hadi wataisha maana Nabi anafundisha kushambulia na Kaze anafundisha kukaba staili ya mnyororo kila ukimpita mmoja unakutana na wengine wawili hadi unarudisha mpira nyuma. Project yao ni miaka kumi Yanga ifike kiwango cha Al Ahly ambako Nabi alifundisha hapo kabla. Simba wataumia na kufukuzana kwa 10 years!@
Wamiliki wa daladala piaKumbe watumishi.....wamshukuru Putin
Putin ndo anaupiga mwingiKumbe Maza Anaupiga mwingi
[emoji28][emoji28]Mimi naona wa kulaumiwa ni Feisal .
Kafukuzisha mmadrada kazi
endeleeni kutaniaManara: Ninazo taarifa za uhakika kabisa zinadai kuwa zinadine Zidane asikitishwa na kitendo cha Simba kumpa barua ya mchongo kocha Pablo kilichofanywa na uongozi wa makolo hususani kumpa barua isiyoonyesha tarakimu za malipo yake
Akiongea na kituo cha television huko Burma, Zidane ambaye aliwahifanya kazi na Pablo pale real Madrid, amesema kocha huyo no mzuri mno angeweza kuwafikisha mbali kisoka
Source: manara View attachment 2247212View attachment 2247196