Manase Fast Courier kusafirisha mizigo duniani kote, mikoani kwa haraka mpaka mlangoni kwako

Manase Fast Courier kusafirisha mizigo duniani kote, mikoani kwa haraka mpaka mlangoni kwako

95b07111-247e-4f77-8461-4e201bea6df5.jpg
 
E
Nanase fast courier sasa anakuletea huduma ya kusafirisha mizigo yako ndani na nje ya tanzania kwa gharama sahihi, duniani kote, kama unamzigo nje ya nchi uwe mkubwa au mdogo bhasi tuachie sisi tupe adress na location na tutakuletea kwa huduma zote yaani meli, ndege au barabara kutokana na uharaka wako wa mzigo.

Dials: 0744302922 kwa maelezo zaidi.

View attachment 2286141
Nipo Valencia, Spain nataka kusafirisha Jeep Grand Cherokee niliyokua natumia huku kwenda Tanzania
 
Back
Top Bottom