NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Rebuild inafanyika na ime klick faster!Klopp mbinu zimeisha
Sure 1000%moto [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] ni uleuleKuna hatari ya Man city kuchukua mara 10 mfululizo maana makocha wengi ni vilaza tu kwa pep angalau Klop huwa anamsumbua Gurdiola. Mpinzani angalau ni liverpool ya Klop na yenyewe ikitetereka basi ni mserereko tu kwa Pep maana hizi timu zingine makocha wake ni underdog kwa Pep.
Sawa tunaingojaRebuild inafanyika na one klick faster!
Subiri tu uone tukikutana na hao mancity!!
Watakuwa stable kipindi ambacho City ameshatangazwa bingwa.Liverpool matured with comebacks!
But still unstable!what happens when they are stable!!?
Hatari [emoji23][emoji23]Mashabiki wa cheltako watabisha[emoji28]
Yeah seriouslyNa msimu huu naona akiongoza ligi mwanzo mwisho
Huku haaland akiwa na goli 60 🍺Yeah seriously
Huyo anabeba tuMan city akitoka cristmass anaongoza ligi . Ujue ubingwa ameshaubeba.
Huwa hakoseagi kwenye mechi za mwaka mpya
Haya matimi yaliyopanda epl hovyo kabisa ni kujipigia tu.
Yeah jamaa nomaHuku haaland akiwa na goli 60 [emoji481]
100%Wanachukua tena
Mtoa mada alikuwa anataka ubishi kama huuCity BADO hajamishawishi japo anashinda mechi!!
Uwezoe wake BADO sana!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haya matimi yaliyopanda epl hovyo kabisa ni kujipigia tu.
Au sioMtoa mada alikuwa anataka ubishi kama huu
Eti eeOngeeni Yote mmalize ila Tambua Liverpool Tumebakiza Mechi 32 Tukabidhiwe Kombe Letu "Nimemaliza".