Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
Plastic team.Moto wa Man City wa msimu uliopita ndo uleule wa msimu huu tu hizi big club nyingine miyeyusho tu naona wanajitafuta man City hana mpinzani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Plastic team.Moto wa Man City wa msimu uliopita ndo uleule wa msimu huu tu hizi big club nyingine miyeyusho tu naona wanajitafuta man City hana mpinzani
Plastic team ndo nini mkuuPlastic team.
Pesa bila mbinu hamna kituChelsea anaenda kushuka daraja na Yale mabilion ya pesa waliyotumua kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]kweli pesa sio Kila kitu [emoji23]
Sawa tunangoja mkuuSis liverpool tutabeba hilo kombe amini maneno yangu
HatoboiFixture ya city wakati wa kuanza msimu ,kuna watu wanasema tumeanza na vibonde lakin EPL Hakuna team ndogo kama unabisha muulize Chelsea ...
Vs Burnley
Vs Newcastle
Vs Fulham
Vs shelfield united
Vs Westham
Vs Nottinginham forest
Zote hizo kachukua point 3,na magoli 2+ Kila game ...
Next three game
Vs Newcastle (fa )
Vs Wolves
Vs Arsenal
Mwaga pesa za mafuta.Plastic team ndo nini mkuu
Pep tumupe maua yake tuKuna lile lijamaa jeusi kalisajili linapiga mpira hadi sio poa Pep anajicho la kuchagua wachezaji. Kuna wachezaji wameimbwa sana wakati wa usajili lakini ni madebe matupu mfano enzo,mudryk,caicedo,kai etc
Pep anajua asee alimtimua cancelo,zinchenko,Yaya toure, Gabriel jesus,Sterling. Ikay gundogan kaondoka lakini bado timu imesimama .Na hapo de bruyne na stone wanamajeruhi ya muda mrefu .Kubomoa timu na kuijenga kwa wakati mdogo sio poa.
Man u toka ibomoke enzi za Wayne rooney hadi leo mwaka wa 10 wanatumia mabilioni lakini hakuna kitu
Sent from my SM-A025U using JamiiForums mobile app
Huyo kocha mpe ata brighton na kibunda atleast 400m USD alafu tulia uone balaa lake.
1B za wapi unazozungumzia €, USD au Tsh?acha kuongea tope mkuu, amespend City karibu 1 B.
1B za wapi unazozungumzia €, USD au Tsh?View attachment 2761763
Nilisema kutokana na huo msimu mmoja, kwani fungu huwa anapewa la misimu 7 yote kwa pamoja?naona umeeka za msimu mmoja eka za misimu 7 aliyokaa
Sio legelege man City kiwango kawazidiCity wamefanya ligi ya EPL ionekane lege lege
Ndio,lakini wewe unaona big 4 kuna timu apo ya kumzinguaCity bado hajakutana na big 4 .
Ata poteza tu msimu ndo kwanza umeanza.
Pep anazuilika na anafungik kabsa.