Manchester City hana mpinzani EPL

Manchester City hana mpinzani EPL

Fixture ya city wakati wa kuanza msimu ,kuna watu wanasema tumeanza na vibonde lakin EPL Hakuna team ndogo kama unabisha muulize Chelsea ...

Vs Burnley
Vs Newcastle
Vs Fulham
Vs shelfield united
Vs Westham
Vs Nottinginham forest

Zote hizo kachukua point 3,na magoli 2+ Kila game ...

Next three game
Vs Newcastle (fa )
Vs Wolves
Vs Arsenal
 
Hatoboi
 
Kuna lile lijamaa jeusi kalisajili linapiga mpira hadi sio poa Pep anajicho la kuchagua wachezaji. Kuna wachezaji wameimbwa sana wakati wa usajili lakini ni madebe matupu mfano enzo,mudryk,caicedo,kai etc

Pep anajua asee alimtimua cancelo,zinchenko,Yaya toure, Gabriel jesus,Sterling. Ikay gundogan kaondoka lakini bado timu imesimama .Na hapo de bruyne na stone wanamajeruhi ya muda mrefu .Kubomoa timu na kuijenga kwa wakati mdogo sio poa.

Man u toka ibomoke enzi za Wayne rooney hadi leo mwaka wa 10 wanatumia mabilioni lakini hakuna kitu

Sent from my SM-A025U using JamiiForums mobile app
 
Pep tumupe maua yake tu
 
acha kuongea tope mkuu, amespend City karibu 1 B.
1B za wapi unazozungumzia €, USD au Tsh?
IMG_20230925_133147.JPG
 
Back
Top Bottom