Nilisema kutokana na huo msimu mmoja, kwani fungu huwa anapewa la misimu 7 yote kwa pamoja?
Sawa mkuuPep hakutengeneza timu kwa msimu mmoja, msimu wa kwanza alitumia 200+ naakaishia nafasi ya nne na Europe akaishia round ya pili. Bila ya kuendelea kuspend asingelifika hapo alipo
Haiwezi ile,kaishachapika na bado atachapika sana.City anaifukuzia rekodi ya invicible
Ndio,lakini wewe unaona big 4 kuna timu apo ya kumzingua
City anaifukuzia rekodi ya invicible
Golden cupHaiwezi ile,kaishachapika na bado atachapika sana.