Nilisema kutokana na huo msimu mmoja, kwani fungu huwa anapewa la misimu 7 yote kwa pamoja?
Pep hakutengeneza timu kwa msimu mmoja, msimu wa kwanza alitumia 200+ naakaishia nafasi ya nne na Europe akaishia round ya pili. Bila ya kuendelea kuspend asingelifika hapo alipo