Manchester City hana mpinzani EPL

Manchester City hana mpinzani EPL

Duh Sheffield anayakoga hapa

Ova
20230924_202102.jpg
 
Kuna hatari ya Man city kuchukua mara 10 mfululizo maana makocha wengi ni vilaza tu kwa pep angalau Klop huwa anamsumbua Gurdiola. Mpinzani angalau ni liverpool ya Klop na yenyewe ikitetereka basi ni mserereko tu kwa Pep maana hizi timu zingine makocha wake ni underdog kwa Pep.
 
Back
Top Bottom