Manchester Derby: September 10, 2016, Old Trafford

Rashford kaingia, naona anawachambua tu.
 
ila man city wananisononesha sana kila tunapokutana nao,hope united watafanya vzr leo...GGMU.
 
Tupeni goal update tafadhali tupo kazini na umeme wamekata hapa shinyanga
 
Asante sana kwa utabiri uliotukuka
Huyo bwana ana MANENO ya kujipa FARAJA sana kabla ya MECHI lakini baada ya MATOKEO huwa anakimbilia kuikumbatia HISTORIA..!
Lakini nafikiri hilo sio tatizo lake peke yake ni tatizo la Manure fans wote..!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…