Denis denny
JF-Expert Member
- Oct 7, 2012
- 5,780
- 7,844
Hakuna Mungu wa Man U pekee akeMungu tusaidie Man United tushinde
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna Mungu wa Man U pekee akeMungu tusaidie Man United tushinde
Man city anaongoza 2-1Jamani ngapi ngapi?
Manyumbu united wameshapigwa 2-1Jamani ngapi ngapi?
Kwahiyo jibu limepatikana kwamba gadiola ni nyokoWamelalaaaaaaa[emoji23]
MmeshaumiaaaaaaaaaaaTupeni goal update tafadhali tupo kazini na umeme wamekata hapa shinyanga
Man City watajaribu kucheza mpira ila Man Utd watakuwa wanawazuia. Mourinho ataedit kidogo style ya kupark bus. Draw ndo matokeo ya game.
Rashfod yupo kwa ajili yao kamoja tu na zlatan kamoja pana kepu hapo city hapat hata goli moja
Huyo bwana ana MANENO ya kujipa FARAJA sana kabla ya MECHI lakini baada ya MATOKEO huwa anakimbilia kuikumbatia HISTORIA..!Asante sana kwa utabiri uliotukuka
man mnaongea sanaRashfod yupo kwa ajili yao kamoja tu na zlatan kamoja pana kepu hapo city hapat hata goli moja