Manchester na asernal

Manchester na asernal

mwibi

Senior Member
Joined
Jul 28, 2016
Posts
131
Reaction score
79
Huo ninapata wakati mgumu ninapokutana washabiki wa man u na asernal kwamba nani bingwa huku washabiki wa man u wakisema kwamba wao ndio wanaongoza kwa kuwafunga asernal lakin pia asernal nao wanasema kwamba kwa makombe wanawazidi man u sasa mpaka leo sijajua nani yupo sahihi sasa naombeni ambaye anafahamu juu ya hili anifumbue macho karibuni
 
nenda kampime akili yake huyo shabiki aliekuambia hayo maneno
 
Kama wewe ni wakiume na hujui majibu ya hayo maswali basi endelea tu kufatilia tamthilia maana hujui chochote kuhusu mpira wa miguu
 
Arsenal wadogo kwa Man u
 
Attachments

  • Capture.JPG
    Capture.JPG
    27.6 KB · Views: 31
Head to head records
 
Attachments

  • Capture1111.JPG
    Capture1111.JPG
    16 KB · Views: 33
Back
Top Bottom