mwibi
Senior Member
- Jul 28, 2016
- 131
- 79
Huo ninapata wakati mgumu ninapokutana washabiki wa man u na asernal kwamba nani bingwa huku washabiki wa man u wakisema kwamba wao ndio wanaongoza kwa kuwafunga asernal lakin pia asernal nao wanasema kwamba kwa makombe wanawazidi man u sasa mpaka leo sijajua nani yupo sahihi sasa naombeni ambaye anafahamu juu ya hili anifumbue macho karibuni