Manchester United gari imekolea moto au gesi ya presha cooker?

Manchester United gari imekolea moto au gesi ya presha cooker?

Sisi manjesta tupewe mechi zetu tucheze tu kila siku ikiwezekana asubuhi mchana na jioni , tuna mambo mengi ya kufanya bwashee 😜
Dah!, Ila mashabiki wa manjesta ninawakubali sana, wao wako ña furaha na afya tele bila kujalisha matokeo ya tmu yao.
 
Wallah, mwenyewe nashangaa manjesta wamekuajee?? Mbona ghafla sanaa.
😂😂😂😂 wanatembeza kichapo sio poa.
Lol
 
Back
Top Bottom